Doluka Training College - DTC

Doluka Training College - DTC

Share

18/04/2025

Je unahitaji kusoma Tour guide, hotel management, Tour Operations, QT na PC kwa ufasaha zaidi wasiliana na Chuo Cha DOLUKA TRAINING INSTITUTE-DTI kwa simu namba +255 785 241 032/ +255 755 646 810. Email [email protected], Blog DOLUKA COMPANY LIMITED

15/04/2025

Hii ni ofa kwa wakazi wa Arusha jiji na viunga vyake tunafundisha pia kozi spesho kwa wanafunzi wote wasio na muda wa kusafiri kufika chuoni, walimu wetu watawafuata popote walipo, Angalia kozi zetu kupitia Google kwa kuandika DOLUKA COMPANY LIMITED utaona Blog ya Chuo, kisha wasiliana nasi kwa Simu namba +255 785 241 032/+255 755 646 810. Wote mnakaribishwa

13/04/2025

Usipate shida tena kuwaza utasomaje huku muda wote wa mchana unashinda kazini jiunge sasa na chuo Cha DOLUKA TRAINING INSTITUTE-DTI, ili uanze masomo yako kwa njia ya mtandao leo, kuchagua kozi uipendayo ingia Google kwa kuandika neno "DOLUKA COMPANY LIMITED" utaona Blog ya chuo ifunguwe na chagua kozi kisha wasiliana nasi kwa: Simu namba ±255 785 241 032/+255 755 646 810.
Email: [email protected].
Blog: DOLUKA COMPANY LIMITED.

28/02/2025

Doluka Training Institute-DTI, Kozi zitolewazo: 1.Hotel Management 2. Tourism and Tour Guide 3. Tour Operations 4. Basic Computer Applications 5. English Course 6. French Course 7. German Course na Nyingine nyingi. Tupo Mianzini Mataa na Oljoro Arusha. Hostel kwa wanafunzi wa Bweni jinsia zote zipo. Fika ofisini au Wasiliana nasi sasa. Karibuni Wote. Doluka Training Institute-DTI: Education for Better. Mawasiliano 0785 241 032/0755 646 810. Mkuu wa Chuo.

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


OLJORO
Arusha