Maintain YOUR Health
21/04/2026
: Wiki ya Chanjo Duniani : 24-30 Aprili :
:Tunahitaji Chanjo ili Kulinda;
π΅π½ Wazee kutokana na homa za mara kwa mara.
π§πΎ Wasichana wadogo kutokana na Virusi vya HPV (Human Papilloma Virus) ambao husababisha Saratani ya Shingo ya Kizazi.
πΌ Watoto kutokana na Ugonjwa wa Malaria na RSV - πππππππππππ’ ππ’πππ’ππππ π
ππππππ (π
πππππ ππ’π πππ ππππ ππππππ’π πππππππππππ πππππππππ£π ππππππ ππππππππ ππ π π πππππ).
π€°πΌ Wanawake wajawazito kutokana na πππππππ (π²πππππ ππππ’πππππππ πΌπππ πππππ£πππ πππππ π’π πππππππππ£π π’π πΌππππ πππππππ).
: Jilinde mwenyewe na familia yako na chanjo :
: Tutumie ujumbe mfupi WhatsApp 0766 972 073 ili kujifunza zaidi kuhusu chanjo.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 23:30 |
| Tuesday | 08:00 - 23:30 |
| Wednesday | 08:00 - 23:30 |
| Thursday | 08:00 - 23:30 |
| Friday | 08:00 - 23:30 |
| Saturday | 08:00 - 23:30 |
| Sunday | 08:00 - 17:00 |