Smart Money Forex University
π βUSIWEKE MAYAI YAKO YOTE KWENYE KAPU MOJAβ
Huu ni msemo maarufu unaohusishwa na Aesop (Aesopβs Fables), ukiwa na maana ya kutogawa hatari zako zote sehemu moja.
π Katika biashara ya forex, mtaji ni kitu kisichoepukika, lakini muhimu zaidi ni jinsi unavyoutumia.
Tunashauriwa kuwekeza pesa ambayo tuko tayari kuipoteza bila kuathiri maisha yetu ya kila siku.
π Ukweli ni kwamba, mwanadamu ana emotional attachment kubwa sana na pesa.
Na tofauti ya forex na kazi nyingine ni hii:
π Kwenye kazi ya kawaida, siku mbaya maana yake hujauza au hujapata wateja
π Lakini kwenye forex, siku mbaya maana yake ni hasara ya moja kwa moja ya pesa
Hii ndiyo sababu risk management ni muhimu sana.
π Kabla hujaingia sokoni:
- Hakikisha una emergency fund ya angalau miezi 6
- Usiguse pesa ya basic needs (chakula, kodi, maji, umeme)
- Usitumie pesa ya majukumu muhimu ya maisha
π Na muhimu zaidi, βPay yourself firstβ β concept hii imeelezwa sana kwenye kitabu *The Richest Man in Babylon* cha George S. Clason.
π Pia kwa elimu zaidi ya maamuzi ya kifedha, unaweza kujifunza kitabu *Money Formula* kilichoandikwa na Joel Arthur Nanauka
π
π Kabla ya kuingia kwenye biashara ya forex, hakikisha umejipanga kifedha na umeelewa hatari zake vizuri.
# SMFU # TRADE SMARTER NOT HARDER
π Moja ya changamoto kubwa sana ambayo watu wengi wanaingia nayo kwenye biashara ya forex ni ile mindset ya βget rich quickβ.
π Hii inawafanya wengi waquit mapema, na wengine kuanza kuamini kwamba forex ni scam.
π Ukweli ni kwamba, watu wengi wako tayari kwenda chuo kwa miaka 3 au zaidi wakiwa na utulivu wa fikra kuwa wakimaliza watapata ajira yenye mshahara fulani.
Lakini hawako tayari kuwa na hiyo hiyo mindset kwenye biashara ya forex β ya kujifunza, kusubiri na kukua taratibu.
π Forex si njia ya haraka ya utajiri, ni mchakato unaohitaji elimu, nidhamu na uvumilivu.
π Sisi k**a SMFU tupo hapa kukuonyesha hatua kwa hatua njia sahihi na mindset sahihi ya kuingia kwenye hii soko.
π Tufuatilie kwa mafunzo zaidi kuhusu biashara ya forex
Get ready # SMFU
07/08/2025
Kuna broker niliwahi kutumia huko nyuma β alikuwa maarufu sana, ana matangazo kila kona. Nilidhani niko salama.
Lakini nilichokutana nacho:
π Order ilifungwa mbali na stop loss β market haikufika hata karibu.
πΈ Spread iliruka hadi pips 6 β faida ikayeyuka.
β Entry haikufill vizuri, slippage kila mara.
β οΈ Commission kubwa mno per lot β bila huruma.
Hapo ndipo niligundua:
β Usichague broker kwa sababu ni maarufu au anajitangaza sana.
β
Jua aina ya broker huyo β ni Market Maker au ECN? Je, anakupinga au anakuwakilisha sokoni?
π **Kabla hujajua strategy, jua broker sahihi.**
Pesa zako ni muhimu kuliko promosheni.
π Unahitaji kujifunza zaidi kuhusu aina za brokers na jinsi ya kuchagua bora?
π² **Wasiliana nami kwa 1-on-1 mentorship**
WhatsApp: 0624585151
Instagram DM:
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha