VD Media Maratown
23/04/2026
Msanii Nyago man Gm anatarajia kuachia ngoma mpya, na kwa siku za nyuma aliwaomba wasanii wengine msilaumu akiachia ngoma.
Ila anaomba msnii umoja wa kibembe atakaye weza kua kwenye iyo project mpya ambayo soon ataiachia.
Kwako wewe, ni msanii gani wa kibembe unaye mfahamu, ambaye anaweza akawa kwenye ngoma iyo?
Hii couple jamani 🥰🥳🤩
Kionjo cha wimbo wa Decky Real pamoja na 𝙅𝘼𝙔 𝘿𝙊𝙇𝙇𝘼𝙍 𝙊𝙂 - NIMEKUMISS.
Kionjo tu, umeishakua hit 🔥🔥
22/04/2026
Msanii Decky Real ametangaza ujio wa collabo yake na 𝙅𝘼𝙔 𝘿𝙊𝙇𝙇𝘼𝙍 𝙊𝙂 kitambo sana, yaani kipindi Jay Dollar bado yupo kambini Nyarugusu.
Ila sasa mda umekaribia, na kionjo cha ngoma iyo, ipo tayari Tik Tok kwa ajili ya challenges.
Unaisubiri ukiwa wapi?
Clique aqui para solicitar o seu anúncio patrocinado.
Categoria
Entre em contato com o negócio
Telefone
Endereço
Avenida Coronel Sebastião Mabote
Maputo