Tyler_Jonz KE
23/04/2025
Die with memories,Not Dreams!
tyler jonz
Omoisi_bwo_mokogoti
04/02/2025
Some years ago I remember my shosh alikua anapika ugali jikoniπ, na ilikua msimu wa njaa 1kg ilikua around 180π³π³..so shosh alikua amepata unga mahali atupikie kaugali at least tupunguze njaa sa alipika Omena kwanza akaweka pending ndio apike ugaliππ, maji yakachemka akapiga ugali poa.. sa ilikua time aendee sahani kwa nyumba kubwa akaacha jikoni wazi bila Mtu kumbe kuna jamaa hapo nje alikua anachunguzaπ.
So after shosh kuingia kwa nyumba msee aliingia jikoni akachukua ile sufuria ya mboga akawekelea kwa ile sufuria ya ugali msee akatoka mbioππ. Shosh kufika jikoni hakuna kitu na hapo ndio tulipata ticket ya kulala njaa kiroho safi,asubuhi kuamka ndio tulipata sufuria kwa mahindi πππββββ......That man where you are I still wish you success in lifeπππ.
15/03/2024
kizungu ilikuja na meli
ππππππ
16/02/2024
My life is like *GOtv* leave it or love it πΉπΉπΉ
....πππ
05/02/2024
Valentino inaleta shida wananguπππJana niliteleza nikaanguka akaniambia its over between us ju hawezi date mtu akona kifafaππ©
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Majengo
Narok
20500