Kelvin Githui

Kelvin Githui

Share

19/02/2025

23 DAYS ONLY REMAINING
Watu wa kumkum bagya wenye mnauliza abuhi na praghia walienda wapi 🤔 here we're Nanyuki hapa Katheri Watumishi wa Mungu kutoka India from 14-16 Mar kuja tushiriki pamoja 🙏

18/12/2023

Christmas iko hapa
Unasema merry Christmas
Na Kwa mkono glass ni ya pombe
Cheki unalala na dame na hujaona
Na unasema unacelebrate Christ
Sielewi pia wewe dame unafonicate
Na bado unasema this is Christ season

Naona the married mnafanya adultery
At the expense of Christ was born
Kwani mnabonga kuhusu Jesus mgani?

Unajiita mkristo na unapora wengine
Ukisema unatafuta za Christmas
Sina shida na wewe lakini
Naona deal unazifanya hazifurahishi Yesu

Hii season acha tuworship Christ
Naona umeplan kuconform to wordly pattern
Usiseme zii na umeplan kukuwa wicked kiplan
Christ alizaliwa abring freedom from sin
So sioni essence ukifanya sins ukicelebrate his born
Ni k**a uniambie unacelebrate wangari mathai
Kaa unakata miti bila kupanda.
Sijui kaa inamake sense kwako.

Legend anasema hii season tujitakashe
Tuworship our redeemer
Na hakuna kuworship Other gods
Juu mwenye amezaliwa ni jealous God
Na hua hafurahi miungu wakiabundiwa

Christmas Jesus was born
And in Christmas you can give your life to christ
Kuokoka ndio muhimu na kutukuza Christ ndio deal


invites you to worship Christ in this Christ-mass

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Nanyuki?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Nanyuki