Ex wa Mathare
SWEET NURSE๐๐๐ฆ
Episode 1๐
Kuna hii black Monday nliingia mjei kaa kawaida. Kumbe leo shetani nkaa alikuaga ameekelea Foreman over 3.5. After tumemaliza ku apload lorry ya mawe tukaishia lunch. Venye saa tulirundi site ilikuaga sasa tumebakisha kutoa ile neti huaga imefunika huko inje nyumba ikijengwa ndio raia wasione tukiteseka๐. Ilikuaga saa kumi na nusu so tulikuaga tutoa hiyo neti saa kumi na mmoja ifike tunge site. Huko mimi ndio nlikuaga nmeamini kuingia na kufanya ile kazi risky risky. Nlianza kutamba na hiyo neti pole pole k**a spider man niishia nitoanishe place ilikuaga imekwama ndio na wao akina omondi na mwangi waivurute huko chini tumalize kazi. Nkiwa karibu kufika ile place imekwama sijui leo mwangi alikuaga amevuta bhangi ya wapi. Nliskia amevuruta kineti once me ata sikuwa nmejishikilia vizuri nkazungusha mara moja k**a nmetupwa huko kando. Na nlikuaga 14th floor nlianza kishuka k**a superman huko juu ya hewa k**a bado na pelekwa na upepo. Watu huko kwa estate walikuaga wanaskia nduru nka malaika wanashuka. Na bado nlikua nmevaa jacket ingine hapo huniokolea nkibemba mawe nvenye huaga imekauka na venye ilikuaga inaingiza upepo inafura. Ata kaa ilikuaga inapunguza velocity ya kufall nlikuaga naskia ikininyonga kwa shingo. Ungedhani nmetoka kwa helicopter juu hiyo jacket ilikuaga imefura ilikuaga k**a parachute. After kuzungushwa na upepo nliangukia kijiko ya mchanga ilikuaga imeekelewa juu ya mawe na hiyo kijiko nayo nkaa ilikuaga inajua leo lazima itanisalimia. Kitu ilinigonga chuma๐ nkaskia nk**a balls nazo zimeingia kwa tumbo. Hapo hapo nkafaint. Nlikua naskia foreman akiuliza huyu na yeye hushuka hivo ama ni time amefika. Hawa watu wa mjengo nkaa huvuta sigara na maskio. Juu wanipee maji waone kaa ntajiskia nlikua naskia walinieka uji moto๐ต kwa mdomo by force while wengine wakisema wao huanguka hivo na hawajai faint saa labda huyu ni njaa ako nayo.
Episode 2 loading
Follow my page usipitwe na hii story wakuu๐๐
Can you solve this?
๐+๐+๐=60
๐ช+๐ช+๐ช=15
๐ฆ+๐ฆ+๐ฆ=9
๐+๐ชร๐ฆ=?
The value of a college education is not the learning of many facts but the training of the mind to think
Unachezwa lakini ile mapenzi unapewa hauezi shuku mko wengi๐๐JeJeff wa piliaJeff wa piliiJeff wa pili
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Maragwa