PUT ALL inside

PUT ALL inside

Share

21/01/2026

hello friends๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ

Photos from PUT ALL inside's post 10/09/2025

TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ- Kiongozi wa upinzani Tundu Lissu yupo gerezani kwa tuhuma za uhaini. Kwa hivyo Rais Samia atakuwa kwa uchaguzi peke yake.
2. UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ- Kiongozi wa upinzani Kizza Besigye yupo gerezani kwa tuhuma za uhaini na kimiliki silaha kinyume na sheria. Kwa hivyo Museveni atakuwa kwenye debe peke yake bila mpinzani.
3. RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ - Kiongozi wa upinzani Victoire Ingabire yupo gerezani kwa tuhuma za uchochezi.
4. BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ- Kiongozi wa upinzani Agatha Rwasa ameshapewa onyo asionekane akifanya siasa hadhalani. Na akipatikana apigwe risasi. Anaishi Kenya kwa kihofia maisha yake. 5. 5. SOUTH SUDAN ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ธ- Kiongozi wa upinzani ambaye pia ni makamu wa rais Riek Machar gerezani kwa tuhuma za uchochezi.
7. KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช- Kiongozi wa upinzani Raila Odinga analipwa na serikali, anatumia magari ya serikali, ndege za polisi na wanajeshi, na kila kitu anapewa na serikali ndio atulie asiwe msumbufu na aache kuikomoa serikali.
Kenya ndio nchi ina democrasia zaidi bara la africa

26/02/2025

For me it's not till death do us part, it's till disrespect do us part ๐Ÿ˜‚. I'm not a rehabilitation center for badly raised humans

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Machakos?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Mombasa Road
Machakos