FAITH Digital SALON
Tusikiza tuu osai nitwakwa mumbukilye!!!
Makoani *837*687 # press ok
Yeova nukwendete *837*688 # press ok.
Telem *837*689 # press ok.
Ovakilitwe mikyembekoni..10am - 1pm. comments syuke , fb 90.3countyfm ,91.8 Mwingi .mbeere , Embu & Meru 89.2 , Makueni ,kibwezi & Mtito-andei 89.5 ,Machakos & Kitui 90.3 . Wina kyavyuva mweene. Ngaku ngwatie nzeve.
FURAHI KIDOGO HAPA!
Kijana mmoja alifungwa jela miaka 7, baada ya miaka 2 baba yake akamwandikia barua.
Mpendwa mwanangu umeniacha katika maisha magumu ya maradhi na umasikini bora ungekuwepo ungenisaidia kulima.
Mtoto akatumia akili na kuchora michoro yake,akaandika barua akajibu, tafadhali baba usithubutu kulima hilo shamba sababu
pesa zote nilizoiba "bilions" nimezificha huko. Alijua kwa sababu askari wanapenda pesa watashughulika kujua hiyo pesa pahali hiko kumbe ulikuwa uongo .....aaya ngoja uone sasa........
Kwakua barua zote husomwa na polisi na walivyosikia ni pesa, kesho yake baba kuamka kakuta polisi zaidi ya 100 wanalima shamba zima, mpaka wamemaliza hawakupata hata senti 5
Siku iliyofuata mtoto akamwandikia baba yake barua natumaini msaada wangu umeufurahia sasa panda mahindi.
Mabusu hawapendi ujinga ,ata Tatu anawatambua.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
1414
Kitui
90200