Lixer Classic

Lixer Classic

Share

26/02/2026

Harmonize Ahidi Kumnunulia Mpenzi Wake Gari Nyingine, Kajala 3

26/02/2026

Fumbo.........!!!!??????🙋
Chautundu ni kijana mdogo😇, hana miguu lakini anasimama💃, hali chakula lakini ikitokea ametapika basi anatapika maziwa🙀, mikono hana ila ana uwezo wa kumchapa mtu hadi kumliza😹, ni kijana mdogo kiumbo lakini hurefuka na kunenepa anapofurahi🙌, ana jicho moja👀 lakn huona kwenye giza, anaishi kwenye joto na majani makavu meusi👯. Je. Chautundu huyu ni nani?😎🏃🏃
For legends only😂😂😂💔.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Kitale?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


3569
Kitale
30200