Prince Archie

Prince Archie

Share

14/10/2025

🔥 *"NmemPata Mcosti" – Part 5: * 🔥

NmemPata mcosti,
Lakini this time, story haikuwa na smile.
Ilianza na “tunahitaji kuongea…”
Na si ile ya jokes, ilikuwa ile inakupea chills hata kabla hajaendelea.

Tulifika pale mahali pa maumivu ya kimya,
Penzi letu lilianza kuwa k**a nguo ya zamani — bado unapenda,
Lakini kila ukivaa, inakuchoma kwa roho.
Tulianza kuulizana maswali hatukuwa na majibu nayo.

“Bado unanipenda?”
“Mbona kila kitu sasa ni fight?”
Aliwahi niambia, “You don’t listen anymore,”
Na mimi nikasema, “Umenibadilika.”

Hatukuwa toxic, tulikuwa tu lost.
Ilifika point tunazima simu, si sababu ya charge —
Ila ku-avoid maumivu ya kupiga na hakuna anayepick.
Tuliwahi sema “forever” — lakini “forever” haikufika.

Tulilia wote, lakini kwa silence,
Kila mmoja akijifanya strong,
Tuliambiwa mapenzi ni kupigania —
Lakini tulichoka before round ya mwisho.

Nikamwambia, *“Si kwamba sikupendi tena…”*
*“…ni kwamba sijui vile tena.”*
Na hivyo ndo mcosti akaenda,
Na moyo ukabaki na cracks zenye hata time haiwezi tengeneza.

03/10/2025

Finally! finally! It's here
Coming soon
Young klan 014 presents
Men's cave
Season 1
To get this podcast on subscribe to our chanel young klan 014 click this link https://youtube.com/-014?si=02CFI6I2gnGpf_MI

25/04/2025

With Nasieku – I'm on a streak! I've been a top fan for 4 months in a row. 🎉

20/04/2025

Follow and and and I will pay back

05/01/2025

K**a umenimark hii mwaka nifute tuu hii mwaka ni ya kutafuta pesa
Na kujispoil

02/01/2025

Alianza kupost national anthem
Sikujua angenicheat en them
Posting ragi za national flag
C kinotice hio ilkwa red flag
Ilbidi nimyamazie coz hakuniongelesha ungedhani ni m dumb
reason nlimdamp
Nilijua yeye c mvuvi but tabia ilikuwa 2 fishy

01/01/2025

Mimi mambo ya last year ni ya last year 2kikutana ukinisalimia unikumbushe jina yako happy new year

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Embu?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Embu
60100