Valary sibi
Mungu nae mi tu ndo ananilindaaa
Follow my page
Kuna siku nilialikwa na crush kwenda kumtembelea na akaniambia niende k**a nimejipanga juu nitarudi kesho yake☺️weeh finally 🥰nilikuta nimengojewa stage juu niliambiwa nisiende mapema ndio nipate ametokea job.
Kufika Kwa nyumba nikaonyeshwa kitchen kulikuwa na nyama nikapika wetfry na kaugali.
Vile tu imeiva nikitaka kuserve tukule nikasikia doorbell jamaa kuchungulia akakuja akaniambia nitoke kitchen haraka nijifiche kumekujwooo🙆
Nilifunguliwa mlango ya nyuma nikaambiwa niingie Kwa tank ilikuwa hapo😢 kidogo nikasikia wakisheka Kwa shower nikajua baas hii ndio chance yangu ya kutoroka.Mimi huyooo...........
Check first comment uone vile kulienda💔😭💔😭💔
# #
God is always taking care of me 🥰😍
Follow for follow
Wako Ako na pesa ama anakupigia na Airtel 😂
28/03/2024
Huyu nik**a ni mchokozi ama aje
Click here to claim your Sponsored Listing.
Website
Address
Bungoma
Eldoret