BUSIA Border RADIO

BUSIA Border RADIO

Share

12/06/2026

Friday k**a kawaida Usiku Sacco naye Dj-bestkid Jay kuanzia 10pm🔥 hapa ndani yBUSIA Border RADIO
Wakilisha mapema sasa register sasa ndani yaOdiBets kupitia www.odibets.com

12/06/2026

Ni Friday na mambo ni live🔥🔥🔥
Dj-bestkid Jay alongside Olga Juma representing ✌️ Unasikiliza ukiwa wapi?

11/06/2026

Hali halisi katika mtaa wa marach mjini busia wakati mwili wa Fredrick Odhiambo maarufu k**a Papa aliyekufa baada ya kupigwa risasi mnamo tarehe 19 mwezi jana ukitarajiwa kutolewa kwenye makafani hii leo.
Odhambo alipigwa risasi wakati wa mandamano wakishinikiza kuachiliwa kwa mmoja wa wakaji wa Marach maarufu k**a Chikuzee aliyek**atwa na polisi kwa madai ya kuhusika katika kuharibu gari ya polisi.

09/06/2026

Dj-bestkid Jay k**a kawaida njioni ya Leo iwanice Unasikiliza ukiwa wapi? Cheza na uregister sasa na
OdiBets Tembelea tovuti www.odibets.com

Want your business to be the top-listed Media Company in Busia?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Busia