marson_hd
12/07/2021
Monday Best🌻
Psalm 139: 17🙏
Transformation nyingine iliyofanyika katika mziki wetu ni namna ambayo Beats za BENGA zinavyoandikiwa Lyrics za nyimbo za mapenzi na zikaMeiki SeNsI🤗
NI moja Kati ya vijana ambao wameamua kupeleka burudani sehemu zote pasina kuzingatia mtu yupo katika Hali gani ya mahusiano. ameamua kuwafanya hata watu wenye msongo wa mawazo kisa mapenzi nao waweze kuBANG.
Ni kipaji Cha Hali ya juu kuandika Lyrics za mapenzi (hisia) juu ya BEAT ya BENGA.
Wimbo unaitwa unapatikana YouTube na Audiomark kupitia WHISPERKID.
Let's keep the good music alive 💪.
Mziki umepita katika transformation mbalimbali, kipo kipindi ambacho ili wimbo uweze kuwa kilichokuwa kinazingatiwa ni Beats huku wasanii wakitia maneno kidogo Sana. Hivyo ili wimbo uweBENGA kazi ngumu ilikuwa kwa Producer kutengeneza beat ambayo watu watajirusha vilivyo sehemu za starehe.
mambo yamebadilika wamekuja vijana ambao they're very very competent weamua kuwekeza Lyrics na BEATs Kali ili kutengeza BENGA. ni moja Kati ya vijana ambao wameamua kuwekeza kwenye Lyrics na BEATs.
ndio jina la ngoma am telling you ngoma K**a hizi ndizo ndugu yangu anazipigia kelele na kuzipambania ili MiRaBaa ilipwe😁.
Link kwa Bio ya uweze kutazama chupa lenye viwango vya uchumi wa kati. .
06/07/2021
Tuesday Best🌻. Serving CrazyTuesday
.
04/07/2021
Sunday Best 🌻
01/07/2021
Welcome at
Welcome The "ENGLISH MARADONA"
NYIEEEEEEEEEE 😃😃
Klicken Sie hier, um Ihren Gesponserten Eintrag zu erhalten.
Kategorie
Webseite
Adresse
Berlin