barakaclassic49

barakaclassic49

Share

Photos from barakaclassic49's post 08/06/2026
30/05/2026

Unasafiri nasi kuelekea wapi wikiendi tulivu k**a hii tajiri? 😋

Usisahau kukata tiketi zetu mtandaoni kupitia tovuti ya www.barakaclassicbus.co.tz

20/05/2026

Boss kasema WATU WALE!! Kila ijumaa tutakua na huduma ya Biryani special Kwa abiria wetu wanaokata tiketi online 🔥

Unachotakiwa kufanya ni kukata tiketi kupitia tovuti yetu ya www.barakaclassicbus.co.tz tu 😃 Unapata zako Lunch saafi na ka soda 😋😋

Karibuni Sana!!

Want your business to be the top-listed Travel Agency in Perth?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Perth, WA