Magilatech

Magilatech

Share

05/04/2023

Protecting our data and systems is more important than ever, and this successful cybersecurity event showed us why. Thanks to the incredible team and experts who shared their insights. Together we’re building a safer digital world for everyone and leveling up our cybersecurity game!

Photos from Magilatech's post 18/03/2023

・・・
Nafurahishwa sana na maendeleo makubwa ya kijana Godfrey Magila na kampuni yake ya ambayo inajihusisha na utengenezaji na ulinzi wa mifumo ya kidijitali (Cyber Security).

Huyu kijana ameshiriki mashindano mbalimbali ya ulinzi wa mifumo Duniani na amekuwa mshindi wa Dunia.

Taarifa nilizozipata leo ni kuwa amekuwa mwalikwa pekee wa kutoka Afrika katika Mkutano Mkubwa Duniani wa Ulinzi wa Mifumo ya kidijitali (Cyber Security) uliofanyika katika Falme za Kiarabu (zinazohusisha Middle East and Africa(MEA) ambao unazileta kampuni zote Kubwa Duniani zinazohusika na ulinzi wa Mifumo ya kidijitali.

Kampuni ya ni kampuni pekee kutoka Africa iliyopewa nafasi ya kushiriki k**a muoneshaji (Exhibitor) na Mkurugenzi wa Kampuni hii kufanya live Demonstration ya mapungufu yaliopo Kwenye Mifumo ya sekta ya kifedha Kwa ujumla Duniani licha ya kuwepo mifumo ya kidijitali ya kiulinzi kutoka sehemu mbalimbali.

Kudos

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Dubai?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Office 315/314, Building 2
Dubai

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:30
Tuesday 08:30 - 17:30
Wednesday 08:30 - 17:30
Thursday 08:30 - 17:30
Friday 08:30 - 17:30