Ben_Venture
25/10/2025
PEDRO soares Gonçalves Ni nani?.
pedro ametbulishwa rasmi k**a kocha mkuu wa Young Africans Sports Club , na ni raia wa portugal amezaliwa mwaka 1976 na hizi ndiyo team ambazo ameshazifundisha:-
1. amora fc (youth coach tangu 1996-1997)
2.cova piedade (youth coatch1997-2000)
3.spoting cp (youth coach 2000-2015)
4. 1´ de agosto (youth coatch2015~2018)
5. angola U20( as manager 2018-2019)
6. angola U 17 (as manager 20/04/2018-5/11/2019)
7.Angola national team (as manager 2019~2025).
mfumo anao pendelea ni 4-3-3
kwahiyo kwenye ngazi ya vilabu hana uzoefu, kwahiyo tuseme mwanetu hajawahi fundisha wala kushiliki club bingwa africa. yanga hapa nik**a wamezingua fulani hivi. huyu january hafiki😅
25/10/2025
Young Africans Sports Club jishikilieni tunataka magoal wawekezaji...
24/10/2025
HE IS back... Siku ya carabao atacheza kutokana na taarifa kutoka darajan.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Southern