Yebemba Solutions

Yebemba Solutions

Share

04/06/2026

Biashara yoyote haiwezi kuwa na nguvu kuliko watu wanaoiendesha.

Hii ndiyo sababu inayotusukuma tujenge watu kwanza, kwa sababu watu imara hujenga biashara imara na taasisi endelevu.





BusinessGrowth

Photos from Yebemba Solutions's post 01/06/2026
Photos from Yebemba Solutions's post 20/04/2026

K**a YEBEMBA SOLUTIONS, tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa , Mkufunzi wa Elimu ya Fedha aliyeidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT), kwa kuwa sehemu muhimu ya safari ya STRONG WEALTH EXPERIENCE.

Tunathamini kwa dhati mchango wako mkubwa kupitia maarifa na uzoefu ulioshiriki. Mafunzo yako yameleta thamani halisi na yanaenda kuongeza mchango mkubwa kwa kila mshiriki, katika kujenga uelewa sahihi wa fedha, biashara na uwekezaji.

Tunatazamia kwa hamu kuendelea kushirikiana nawe katika mipango ijayo ili kuleta athari kubwa zaidi kwa jamii.

Asante sana, na Mungu akubariki sana.

Telephone

Website