Shaban Rajabu
VYAKULA VYA KUOBGEZA NGUVU ZA KIUME.
Tatizo la nguvu za kiume, limekuwa likisumbuwa vijana wengi sana, na hii ni kutokana na namna ambavyo vijana wengi wanaishi. Miongoni mwa matendo na tabia za vijana huwenda ikawa ni sababu tosha ya kuwa na tatizo hili. Yapo mabo mengi sana yanaathiri nguvu za kiume. Pia unaweza kubadili utaratibu wa maisha unaoishi na mambo kiu wasa baada ya muda.
Je na wewe ni mwenye kukabiliwa na tatizo la nguvu za kiume. Je unaishia bao moja kisha basi, ama unacheza ndani ya dakika 3 ama hufiki kisha basi? Makala hii ni kwa ajili yako. Hapa yutakwenda kunagalia vyakula vizuri kwa kuongeza nguvu ya kuime. Pia tutaona maadui zako wanaoweza kuathiri nguvu za kiume. K**a utakuwa na maoni ama maswali zaidi, tuwachie hapoo chini:-
Mambo yanayopunguza nguvu za kiume
1.Kupiga punyeto
2.Kuwa na misongo ya mawazo
3.Kuwa na uwoga wakati wa kushiriki tendo
4.Matumizi ya vidonge vya kuongeza nguvu za kiume
5.Kuwa na maradhi k**a kisukari na presha ya kupanda
6.Umri
7.Vyakula
8.Kutofanya mazoezi
Njia za kuongeza nguvu za kiume
1.Badili mfumo wa vyakula vyakula salama kwa nguvu za kiume.
2.Fanya mazoezi ya mara kwa mara
3.Punguza mishongo ya mawazo
4.Jiamini unapoliendea tendo
5.K**a unatumia vidonge vya kuongeza nguvu za kiume, jaribu kupunguza matumizi ama kuacha
6.Wacha kujichuwa ama punguza
7.Jitahidi kudhibito kisukari ama presha ya kpanda.
Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume.
1.Maharagwe ya soya
2.Mbegu za maboga
3.Karanga
4.Korosho
5.Samaki
6.Nyama
7.Kuku
8.Matunda epo
9.Mboga za apricot na brocol
10.Kabichi
11.Karoti
12.Kitunguu thaumu
13.Mimea jamii ya kunde
14.Kitunguu maji
15.Pilipili kali
16.Viazi vitamu
17.Nyanya
18.Mayai
19.Mbegu za chia
20.Chokoleti
21.Siagi
22.Asali
23.Tangawizi
24.Maji
shule ilio tekelezwa kwa sababu ya miundombinu mibovu
mkoani mbeya
wilaya ya Mbarali
kata ya igulus
shule hii iko pembezoni mwa mji wa igulus ikionyesha kutelekezwa kulingana na miundombinu kuwa mibovu njia hazipitiki kutokana na mvua kunyesha shule hii inakabiliwa na maji pembezoni mwa shule hii kuwepo kwa vijaruba/vitaru vya mpunga
Hatari Kwa afya Yako
14/11/2025
06/09/2025
JE, HUYU NI WEWE AMBAYE UNATESEKA NA _HALI HII NA UMEKOSA MATIBABU_ SAHIHI?
IMEANDALIWA
_0652334253/0759811795_
Uchafu ukeni wenye harufu kali na miwasho ni dalili ya maambukizi ya njia ya uke (vaginal infections). *Sababu* kuu zinazoweza kuhusiana na hali hii ni:
1. Bacterial Vaginosis – uchafu mweupe au kijivu, wenye harufu k**a ya samaki.
2. Maambukizi ya fangasi (Candida) – uchafu mweupe mzito k**a maziwa mgando, wenye kuwasha sana.
3. Trichomoniasis – uchafu wa kijani au wa njano, unaonuka, unaosababisha kuwasha na kuungua.
4. PID (Pelvic Inflammatory Disease) – maambukizi ya ndani yanayoambatana na uchafu, maumivu ya tumbo la chini, na homa.
5. Magonjwa ya zinaa (STIs) – k**a chlamydia au gonorrhea, ambayo pia huweza kuambatana na uchafu, maumivu, na harufu.
➡️ Ni muhimu kuonana na mtaalam au mshauri kwa uchunguzi sahihi na tiba sahihi. Usitumie dawa bila ushauri wa kitaalamu.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na@lukumbitu_micronutrients kwa kutatua changamoto hii.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
DARESSALAAM