Financial Bold Community
11/05/2026
Watanzania wanaamka! Akiba ya nyumbani sasa haiendi chini ya mto bali inafanya kazi! Bondi, fedha za uwekezaji, na Sukuk zinachukua nafasi ya akaunti za kawaida. Sh28.77 trillion za mali za kifedha za kaya mpaka 2025 ….hiyo ni nguvu ya wananchi wanaochagua kufanya pesa zao zizae.
Cc:
Wewe uko upande gani ??
KCB BANK imekuletae MAPATO SUKUK….hii ni fursa inayozingatia shariah na inaruhusu waislam na ambao sio waislam kuwekeza.
Faida kwa mwaka ni 11% , unaweza kuwekeza kuanzia 500,000 , faida zitalipwa kila baada ya miezi 3
Huu ni uwekezaji wa miaka 3 ….ukitaka kushiriki kwenye fursa hii mwisho ni tarehe 14/5/2026
Unaweza kuweke wewe , ukamuwekezea mtoto au kampuni
Njia za kuwekeza;
1. Tembelea matawi ya KCB bank
2. Tovuti ya KCB bank
3. Download app ya Shirkah
4. Broker wa DSE
Tag rafiki yako ambaye fursa hii itamfaa sana
06/05/2026
Hisa sio kubahatisha ni mchezo wa taarifa…..
Kadri unavyofuatilia uchumi, soko na performance ya kampuni, ndivyo unavyojenga nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji.
KCB SAHL BANKING imekuletae MAPATO SUKUK….hii ni fursa inayozingatia shariah na inaruhusu waislam na ambao sio waislam kuwekeza.
Faida kwa mwaka ni 11% , unaweza kuwekeza kuanzia 500,000 , faida zitalipwa kila baada ya miezi 3
Huu ni uwekezaji wa miaka 3 ….ukitaka kushiriki kwenye fursa hii mwisho ni tarehe 14/5/2026
Unaweza kuweke wewe , ukamuwekezea mtoto au kampuni
Njia za kuwekeza;
1. Tembelea matawi ya KCB bank
2. Tovuti ya KCB bank
3. Download app ya Shirkah
4. Broker wa DSE
Tag rafiki yako ambaye fursa hii itamfaa sana
04/05/2026
Jinsi ya Kupanga Mshahara (Budgeting)
1. Tumia Kanuni ya 50/30/20
Gawanya mshahara wako mara unapoipata:
• 50% → Mahitaji ya lazima (kodi, chakula, usafiri, bili)
• 30% → Matumizi ya starehe (burudani, nguo, n.k.)
• 20% → Akiba na uwekezaji (hii ndiyo muhimu!)
2.Hatua za Kwanza Baada ya Kupata Mshahara
1. Lipa madeni kwanza — ili uwe huru ni lazima ulipe
2. Weka akiba mara moja — kabla ya kutumia chochote
3. Andika bajeti — orodhesha matumizi yote unayotarajiwa
4. Gawanya pesa — kwa makundi tofauti (kodi, chakula, n.k.)
3.Uwekezaji (kwa ajili yako hasa!)
Kwa kuwa unapenda uwekezaji wa hisa , vipande au hatifungani fanya hivi;
• Weka sehemu ya mshahara moja kwa moja kwenye hisa , vipande au hatifungani
• Tumia DRIP (Dividend Reinvestment Plan) — faida zinarudishwa tena kwenye uwekezaji
• Uwekezaji wa kila mwezi hata kiasi kidogo huongeza nguvu kwa muda mrefu
4. Makosa ya Kuepuka
• Kutumia mshahara wote kabla ya mwisho wa mwezi
• Kukopa kwa matumizi ya starehe
• Kukosa akiba ya dharura (angalau miezi 3 ya matumizi)
Unaweza kujifunza uwekezaji kupitia recorded sessions…Karibu dm au WhatsApp
Bofya link kwenye bio kujiunga na m-wekeza
29/04/2026
Unawekeza kampuni gani hapo ??
Note: Kabla ya kuwekeza pata elimu ya uwekezaji
28/04/2026
Bofya link kwenye bio ujiunge na Azam pesa
28/04/2026
27/04/2026
Click here to claim your Sponsored Listing.
Website
Address
Tanga