Zanzibari Yetu

Zanzibari Yetu

Share

Bilal akutana na wajumbe wa Tume ya Katiba 03/11/2014

Bilal akutana na wajumbe wa Tume ya Katiba http://wp.me/p2Hr2P-4H3

Bilal akutana na wajumbe wa Tume ya Katiba [ 1 more word. ]

Wapinzani waseme ‘haya twende’ 02/11/2014

Wapinzani waseme ‘haya twende’ http://wp.me/p2Hr2P-4GU

Wapinzani waseme ‘haya twende’ MTOTO anapozaliwa hutoa kilio na anapochelewa kufanya hivyo huonekana kuwa sio jambo la kawaida na kuna kuwepo wasi wasi juu ya hali ya mtoto huyo. Inapotokea mtoto hajatoa hicho kilio, mzazi k**a anajiweza wakati huo au mtu yeyote yule aliyekuwa karibu humpiga vikofi vidogo mtoto huyo kwenye makalio au mapaja ili alie. [ 1023 more words. ]

Mdahalo: Mchakato wa Katiba Mpya 01/11/2014

Mdahalo: Mchakato wa Katiba Mpya http://wp.me/p2Hr2P-4GM

Mdahalo: Mchakato wa Katiba Mpya Visit the post for more.

CCM msijifunike shuka, tayari kumekucha 31/10/2014

CCM msijifunike shuka, tayari kumekucha http://wp.me/p2Hr2P-4GE

CCM msijifunike shuka, tayari kumekucha Na Salim Said Salim Kwa kawaida Waingereza huwa hawapokei haraka mabadiliko, iwe katika mfumo wao wa maisha, siasa au mambo mengine. Mwenendo huu huenda ukawa ndio uliopelekea hata kuwepo chama cha siasa cha Wahafidhina (Consevatives) ambacho hivi sasa kiongozi wake David Cameron ni Waziri Mkuu. [ 1265 more words. ]

Rais aipasua kichwa Ukawa 2015 29/10/2014

Rais aipasua kichwa Ukawa 2015 http://wp.me/p2Hr2P-4Gr

Rais aipasua kichwa Ukawa 2015 Dar es Salaam. Baada ya vyama vinne vya upinzani nchini kusaini makubaliano ya kushirikiana pamoja na kusimamisha mgombea mmoja katika chaguzi zote zijazo, umoja huo sasa unakabiliwa na kazi ngumu ya kuweka sawa mambo, ikiwa ni pamoja na mchakato wa kumpata mgombea urais, kabla ya filimbi ya uchaguzi kupulizwa. [ 449 more words. ]

Want your business to be the top-listed Media Company in Stone Town?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address

Stone Town
255