Masaihost.com

Masaihost.com

Share

17/07/2024

CAR TRACKING
Unahitaji kufuatilia gari/pikipiki/bajaji yako kwa ajili ya usalama na kudhibiti mapato?

Ninafunga mfumo wa udhibiti (vehicle tracking system) unaokuwezesha kujua gari/pikipiki/bajaji yako ilipo, umbali inayotembea kila siku na ruti zote inazoenda

Kupitia simu au komputa yako utajua ikiwa dereva amepaki au anatembea, ikiwa gari/pikipiki/bajaji itaibiwa utaweza kujua inaelekea wapi ili kuweka kizuizi lakini pia unaweza kuzima injini

FEATURES
*KUJUA GARI/PIKIPIKI/BAJAJI ILIPO WAKATI WOTE HATA K**A IMEZIMWA

*KUJUA RUTI ZOTE INAZOTEMBEA KWA SIKU

*KUJUA KIASI CHA UMBALI INAOTEMBEA KILA SIKU (KM)

*KUFUATILIA MUELEKEO WAKE NA KUWEZA KUZIMA INJINI IKIWA ITAIBIWA

*KUJUA MATUMIZI HALISI YA MAFUTA KILA SIKU

Kwa Mahitaji wasiliana nasi 0767659145, 0787659145

Tunakufikia kokote ulipo, Bei ni TZS 250,000

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Shinyanga?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address

Kahama
Shinyanga