PEMA.tv

PEMA.tv

Share

28/06/2026

Karibu katika Kanisa la TAG SGMEC Nyakurunduma, Mwanza, ibada zetu: Jumatano, ibada ya mafundisho ya Biblia saa 10:00-12:00 Ijumaa, Maombi na Maombezi saa 10:00-12:00. Jumapili, ibada ya kwanza saa 1:00-30:30. Ibada ya pili, saa 4:30-6:30. Unaweza kuungana nasi kwa njia ya mtandao kupitia ukurasa wetu wa kijamii facebook kwa anwani ya PEMA.tv wasiliana nasi kwa namba 0767909795. Karibu sana na Mungu akubariki sana

25/06/2026

TAG SGMEC Nyakurunduma. 0767909795 Tarehe 25/6/2026. Saa 11:00-12 jioni. MHUBIRI NI NAOMI MALEKO

24/06/2026

WIKI YA PILI YA SEMINA
(Siku ya Tatu) TAG (SGMEC) Nyakurunduma. Tarehe 24/6/2026. Saa 11:00-12 jioni. Mhubiri Mch. JOEL M***A SONSOMA. Namba ya sadaka. 0612609595. Majina Pendael silili kingu

Want your business to be the top-listed Media Company in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address

Mkuyuni
Mwanza
33110