YANGA DAIMA
03/05/2026
UJUMBE WA ISRAEL MWENDA KWA MASHABIKI WA Young Africans Sports Club
👉Sikua na siku nzuri kazini nimekosea na kuigharimu TEAM nimewaangusha wachezaji wenzangu na mashabiki hakunakisingizio na ntawajibika na kupokea lawama zote kwa mchezo wa leo. Wananchi hamkustaili kuona juhudi zenu na sapoti zikiishia bila furaha.
Nimejifunza kwa makosa na ntapambana zaidi kurudi nikiwa bora kuliko leo.
💚💛💪🏿🙏🏿
03/05/2026
SUPER CAPTAIIIIN⚽️
Young Africans Sports Club
YANGA DAIMA
03/05/2026
Bao la mwamnyeto
03/05/2026
Mpe neno lolote mwamnyeto
Mwamnyetooooooooooooooooooooooooooooooooo
2-2
Click here to claim your Sponsored Listing.