Mr Godfrey

Mr Godfrey

Share

07/11/2024

UTAJUAJE K**A UNA FANGASI SUGU?

Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una fangasi ukeni k**a zifuatazo;


1.Kuwa na miwasho sehemu za siri mara kwa mara

2.Vipele vidogo vidogo ukeni

3.Kutokwa na uchafu mweupe au wa rangi ya kijivu ukeni wenye harufu mbaya

4.Vidonda au kuwa na michubuko ukeni

5.Kutokwa na harufu mbaya ukeni

6.Kupatwa na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

7.Kuvimba au kuwa mwekundu katika mdomo wa nje ya uke.

8.Kuwaka moto ndani na nje ya uke.

Je una dalili hizi tunayo tiba kwa ajili ya wanawake ambayo itakusaidia kutibu fangasi sugu na magonjwa Mengine Ya sehemu za siri

Wasiliana nasi kwa namba
0683 253 844 622672458

Diamond Platnumz
Cheka Upate AFYA Habari na matukio
Simba Simba Simba Wanawake katika harakati za kupinga ukatili wa kijinsia - Tanzania Wanawake live
_______________________

01/02/2024

🛑UGONJWA WA MAWE YA NYONGO (GALLSTONE
G SOLUTION
0683 253 844

♻️Mawe ya nyongo ni vitu vigumu vinavyopatikana kwenye mfuko wa nyongo unaoitwa gallbladder.

♻️kazi ya mfuko huu ikiwa ni kuhifadhi nyongo iliyozalishwa na ini.

♻️Mawe haya ya nyongo kitaalamu huitwa gallstones au cholelithiasis. Yanafanyika kwa muunganiko wa chembechembe za mafuta, madini ya calcium na chembechembe zingine zinazopatikana kwenye nyongo.

🔺MADHARA YA MAWE YA NYONGO🔺

👉k**a maumivu chini ya mgongo,

👉 tumbo kujaa gesi,

👉kutapika

👉Chakula kutosagwa vizuri tumboni.

👉Kukosa hamu ya Kula,

👉Maumivu ya Tumbo,

👉Kuvimba Kwa Tumbo

👉Kuhisi Homa,

👉Kuwa na Kichefuchefu

👉Mate kujaa mdomoni

👉Kujisikia Uchovu MDA wote

👉Maumivu ya Kichwa

👉Kansa ya Utumbo

👉Kukosa hamu ya Tendo la Ndoa

👉Kupunguza Uzito Kwa ghafla n.k

🔺 DALILI ZA KUONYESHA UNA MAWE YA NYONGO 🔺

🌿Maumivu ya tumbo na kujiskia kutapika
🌿Kuvurugika kwa tumbo baada ya kula vyakula hasa vyenye mafuta
🌿Maumivu makali juu ya tumbo kulia yanyokuja kwa haraka na kuisha baada ya nusu saa.
🌿Maumivu chini na nyuma ya bega la kulia

🛑JE, NANI YUPO KWENYE HATARI ZAIDI YA KUPATA MAWE YA NYONGO❓❓

Makundi gani ya watu yapo kwenye hatari zaidi ya kupata mawe ya Nyongo; Makundi haya ni pamoja na
✅Wanawake
✅Watu wenye umri zaidi ya miaka 40
✅Wenye uzito mkubwa na kitambi (hasa wenye nyama uzembe nyingi kwenye eneo la tumbo)
✅wanaopata lishe duni
✅Wanaopoteza uzito mkubwa kwa haraka sana kwa kujinyima kula
✅wajawazito
✅Wagonjwa wa kisukari
✅Familia yenye historia ya kuugua mawe ya ini
✅Wasiofanya mazoezi ya viungo na
✅Wenye upungufu wa mafuta mazuri mwilini(good HDL)









Oscar oscar
Habari na matukio
Jacqueline Alex Peter
Vero Sanga

14/01/2024

*FAHAMU MADHARA YA UGONJWA WA BAWASIRI (HEMORRHOIDS) K**A HAUTATIBU MAPEMA*

Tatizo la BAWASILI ni mojawapo ya matatizo ambayo maranyingi yanapotokea humfanya muathirika kuona aibu kuelezea au kwenda hospital ili kupata tiba kwa sababu wengi huhisi wakisema wanaweza kudhaniwa kua wamefanya mapenzi kinyume na maumbile kitu ambacho sio tija unapokua unahitaji tiba.

Bawasili husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

NINI KINASABABISHA BAWASILI?

•Tatizo sugu la kuharisha

•Kupata haja kubwa au kinyesi kigumu

•Uzito kupita kiasi

•Mapenzi kinyume na maumbile

•Umri mkubwa

•kukaa kwa mda mrefu chooni bila kupata choo

DALILI ZA BAWASILI

•Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia

•Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa

•kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi)

•Kiuvimbe katika eneo la tundu (mlango wa kutolea haja kubwa)

•Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha

•Bawasili kutoka nje wakati wa kujisaidia haja kubwa

FAHAMU MADHARA YA BAWASILI

Bawasili ni tatizo ambalo huanza kawaida lakini kadri linavoongezeka huleta madhara makubwa yafuatayo

•Upungufu wa nguvu za kiume

•Kukosa hamu ya tendo la ndoa

•kuathirika kisaikolojia

•Kukosa morari ya kufanya kazi kutokana na kua na maumivu makali

•Kutoa kinyesi kinachonuka sana kutokana na damu kuvuja.

🔹Kuganda kwaa damu ambako Ni hatari zaidi, kwani damu hiyo huweza kusafirishia kwenda sehemu mbalimbali za mwili na kukwama mahali na kuzuia usafirishaji wa damu na kupelekea kupata madhara makubwa.

NINI UFANYE KUJILINDA NA TATIZO HILI?

*Unatakiwa kunya maji mengi kuanzia kwa siku

*Punguza kukaa kwa muda mrefu chooni bila kupata choo

*Kula mboga za majani na matunda na nafaka zisizokobolewa kwa wingi

Hitimisho

K**a unahangaika na tatizo hili bila matokeo wasiliana nas G-SOLUTION 0683-253-844
tukusaidie

18/12/2023

Sikiliza kwa makini maan homa ya ini siyo ugonjwa WA kupuuzia kabsa














Oscar oscar
Habari na matukio
Jacqueline Alex Peter
Vero Sanga
0683 253 844

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address

Nyasaka Ilemela
Mwanza