Warusimbi
Hii ni ofisi ya SAMA LUXURY COACH tawi la URAFIKI.
Napatikana hapa kuanzia saa 2 asubuhi - 7 mchana na Mbezi napatikana kuanzia saa 8 mchana - 3 usiku.
Njoo ukate tiketi kwa safari za kila siku na za moja kwa moja kati ya DAR MZA na DAR SONGEA.
Pia nahudumia mikoa mingine yote. Mimi sina mipaka, wala huduma zangu hazina mipaka!
Mawasiliano:
0683423435
Timu yetu ya Mbezi ina jukumu la kuhakikisha kuwa hakuna abiria anayeachwa na gari, haijalishi anapandia hapa Mbezi au kituo cha njiani.
Utekelezaji wa jukumu hilo hufanikishwa kwa maelekezo ya kina kwa makondakta wetu makini.
Njoo Mbezi,
Njoo SAMA LUXURY COACH.
Mawasiliano:
0683423435
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mwanza