DaEliza-afyatips
24/11/2025
Haya ni madhara 5 ya ugonjwa wa *Sciatica* (maumivu ya neva ya paja hadi mguuni):
1. *Maumivu makali* – Hasa upande mmoja wa kiuno, paja, mguu au kisigino. Maumivu huwa ya kuchoma au kupenya.
2. *Kuwashwa au ganzi* – Eneo la neva linaweza kuwa na hisia za kuchoma, ganzi au kufa ganzi kabisa.
3. *Udhaifu wa misuli* – Misuli ya mguu au paja husinyaa au kuwa dhaifu, hasa k**a neva imebanwa sana.
4. *Kupungua kwa uwezo wa kutembea au kukaa muda mrefu* – Maumivu huongezeka ukiwa umekaa muda mrefu au ukisimama ghafla.
5. *Kukosa udhibiti wa kibofu au haja kubwa* *(hali ya dharura)* – Hii ni nadra lakini ni hatari sana, huitwa *Cauda Equina Syndrome* na inahitaji matibabu ya haraka.
Tupigie 0744712822 kwa msaada zaidi.
🦴 JE, UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA VIUNGO AU MIFUPA INAYOSAGIKA? 😣*
Usiruhusu maumivu yakunyime raha ya maisha!
Tunalo suluhisho asilia & salama zinazosaidia:
✅ Kupunguza maumivu
✅ Kulainisha viungo
✅ Kuimarisha mifupa
*Huduma ya haraka na ushauri wa bure!*
📞 Tuma neno *IMARA PLUS"* kwenda whatsapp namba 0744712822 sasa upate msaada!
0744712822
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Moshi
2254