Dr. Biay
11/07/2025
SABABU ZA UGONJWA WA NGIRI (HERNIA) NA SULUHISHO LA HARAKA
✍🏻Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi na hivyo kusababisha viungo hivyo kutoshikiliwa ipasavyo katika sehemu vinapostahili kuwepo.
✍🏻Katika mwili wa binadamu, maeneo ambayo tatizo hili hutokea mara kwa mara ni maeneo ya tumboni, katika eneo la kinena, eneo la paja kwa juu na pia ngiri inaweza kutokea katika eneo ambalo mtu alifanyiwa upasuaji. Ugonjwa huu wa ngiri unawapata wanaume na wanawake wa rika zote.
✍🏻Mshipa wa ngili ni jina linalokusanya magonjwa k**a Ngiri kavu (Hernia), Ngiri maji (Hydrocele) na Ngiri nyinginezo k**a vile kuvimba kokwa au mfereji unaopitisha manii unaojulikana kitaalamu k**a Epididmorchitis.
Ngiri Kavu (Hernia)
✍🏻Ni aina hii ya ngiri huwapata wanawake na wanaume wote kwa ujumla. Ngiri kavu inapompata Mwanamke huitwa Fermoral Hernia, na pindi inapompata mwanaume inaitwa Scrotal hernia.
✍🏻Kwa maana halisi ya ngiri au mshipa wa ngiri ni hali inayotokea katika mwili wa binadamu ambapo sehemu fulani ya nyama ya viungo mbalimbali vya mwili hujipenyeza kupitia sehemu dhaifu ya mwili na kutokeza upande wa pili. Sehemu hiyo inayoathiriwa mara nyingi huwa ni maeneo ya tumbo, kokwa, pumbu na kadhalika ambapo baadhi ya viungo vya mwili vilivyomo tumboni hujipenyeza kupitia vitundu vinavopitisha mishipa ya fahamu inayohudumia kokwa (Spesmatic Cord), hivyo baada ya kujipenyeza huteremka hadi ndani ya korodani hali ambayo hukamilisha kuwepo kwa ugonjwa wa mshipa wa ngiri.
✍🏻Pamoja na hivyo mshipa wa ngili hujitokeza sehemu mbalimbali za mwili na hupewa majina tofauti kutokana na sehemu ulipojitokeza, kwa mfano;
➡️Ngiri ya tumbo inajulikana kitaalamu k**a Abdominal Hernia
➡️Watoto wanaozaliwa na vitovu vikubwa inaitwa Umbilical Hernia,
➡️Ngiri inapojitokeza katika sehemu ya haja kubwa inaitwa A**l Herni.
✍🏻Dalili zake hazitofautiani sana hata hivyo ngiri hujitokeza bila maumivu yoyote isipokuwa kuna baadhi ya ngili hujitokeza na maumivu makali hutegemea ngiri ilivotokeza.
✍🏻Miongoni mwa vitu vinavyoweza kumsababisha mtu apate ugonjwa wa ngiri ni pamoja na kuwa na:
➡️Uzito mkubwa wa mwili wa kupitiliza au kuongezeka uzito kwa ghafla,
➡️Kua na kazi ya kubeba au kunyanyua vitu vizito,
➡️Tatizo la kukohoa au kupiga chafya kwa muda mrefu,
➡️Ujauzito au matatizo yanayojitokeza kwa mwanamke wakati wa kujifungua.
Mojawapo Ya Dalili Za Ugojwa Wa Ngiri Ni Pamoja Na;
➡️Uvimbe unaoteremka kuingia ndani ya korodani unaojulikana kitaalamu k**a (Direct Scoratal inguinal Hernia).
➡️Uvimbe unaojitokeza tumboni na kuteremka hadi ndani ya korodani, uvimbe huu hauumi na unaweza kurudishwa kwa urahisi iwapo mgonjwa atalala chali na kusukuma kwa vidole, uvimbe huu.
➡️Na pindi ukikubali kurudi ndani ndipo unapoitwa Reduible direct scrotal inguinal hernia.
➡️Na pia endapo utashindikana kurudi tumboni ndipo unapoitwa "Irreduible direct scrotal inguinal hernia".
Ugonjwa Wa Ngiri Ya Kitovu (Umbilical Hernia)
✍🏻Hili ni tatizo la kiafya ambalo huathiri ukuta wa tumbo na kitovu. Tatizo hili husababishwa na mambo makubwa matatu; kwanza ni kasoro ya kuzaliwa.
✍🏻Hapa ni kwamba kitovu kinakuwa na kasoro tangu pale mtoto anapokuwa tumboni kabla hajazaliwa.
✍🏻Tatizo hili kwa watu wazima lipo mara tatu zaidi kwa wanawake ukilinganisha na wanaume ambapo lipo kwa kiasi kidogo sana. Kwa watoto kiwango cha tatizo hili vinalingana kwa wote wa k**e na wa kiume na tafiti zinaonesha kwamba, tatizo ni kubwa kwa watoto wa Kiafrika ukilinganisha na mataifa mengine.
✍🏻Aina ya tatu ya ngiri ya kitovu inaitwa ‘Paraumbilical hernia’. Aina hii ya ngiri hutokea zaidi kwa watu wazima na husababishwa na kasoro upande wa juu wa kitovu kuelekea kwa juu kufuata mstari wa kati wa tumbo.
DALILI ZA UGONJWA
➡️Ngiri hutokea katika eneo la kitovu ambacho kwa lugha nyingine huitwa ‘Umbilicus’, ‘navel’ au ‘Belly button’. Kwa watoto wachanga wanapozaliwa kitovu huwa kirefu sana na huungana na kondo la nyuma la mama ili kupeleka lishe na hewa ya oksijeni kwa mtoto anapokuwa tumboni.
➡️Baada tu ya kuzaliwa, mtoto hujitegemea hivyo kitovu hukatwa katika eneo maalum ili kipungue urefu. Baada tu ya kitovu cha mtoto kupona, mtoto anaweza kupatwa na tatizo hili la ngiri ya kitovu tangu anapokuwa mtoto mchanga ambapo akilia kitovu kinatokeza
*MATIBABU*
✍🏻Matibabu ya ngiri siyo kupasuliwa, ni kutumia Dawa ambazo hutoa visababishi au kiini cha tatiz o hilo ambazo dawa hizo ni supliment za kampun ya BFSUMA,zimekuwa na matokeo mazuri sana kwenye kutibu *NGIRI,TEZI DUME,CHANGAMOTO ZA UZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME,NGUVU ZA KIUME N.K*
PIGA KWA NAMBARI HAPO CHINI NI DR.BIAY.Dactari bingwa wa changamoto za ngiri na Tezi dume
⚠️Kwa taarifa zaidi, Piga 0620577212
whatsapp 0620577212
Comment, Like & Share
07/06/2025
MWANAMKE SOMA HII SMS MPAKA MWISHO BILA KURUKA NI MUHIMU SANA
*UTI (Ugonjwa wa Mkojo)*
UTI ni kifupi cha "Urinary Tract Infection," ambayo ni maambukizi yanayotokea katika mfumo wa mkojo, ikiwa ni pamoja na kibofu cha mkojo, urethra, na mara nyingine figo. Ugonjwa huu unawapata watu wa rika zote zaidi kwa wanawake.
*Chanzo cha UTI*
Chanzo kikuu cha UTI ni bakteria, hasa Escherichia coli (E. coli), ambayo hupatikana katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Bakteria hawa wanaweza kuingia kwenye mfumo wa mkojo kupitia urethra na kuanza kuongezeka huku wakiweka madhara .
*Namna ya kujiambukiza*
- Kutumia vyoo vya umma ambavyo havijakidhi viwango vya usafi.
- Kutokunywa maji ya kutosha, ambayo huweza kusababisha mkojo kuwa na viwango vya juu vya bakteria.
- Kutumia vifaa vya uzazi wa mpango k**a vile diafragma.(Kitanzi)
- Kutokuwa na usafi wa kutosha wakati wa kujitakasa, hasa baada ya kujamiiana.
- Kuwa na historia ya UTI katika familia.
- kutumia sabuni zenye kemikali wakati wa kujisafisha
- kuvaa nguo ya ndani ikiwa haijakauka vizuri
*Dalili za mgonjwa mwenye UTI*
- Maumivu au kuchoma wakati wa kukojoa.
- Kukojoa mara kwa mara, hata k**a kibofu hakijajaa.
- Mkojo wenye rangi ya giza au harufu mbaya.
- Maumivu ya tumbo la chini.
- Hali ya kuumwa na kichwa au homa (katika hali mbaya) Mara kwa mara
*Matibabu ya ugonjwa wa UTI*
Matibabu ya UTI mara nyingi yanajumuisha:
- Antibayotiki: naweza kuandika dawa za kuua bakteria waliopobkwenye mfumo wa mkojo
- Kunywa maji mengi ili kusaidia kuondoa bakteria kwenye mfumo wa mkojo.
- Kutumia dawa za kupunguza maumivu k**a ibuprofen au paracetamol.
- Usafi wa mara kwamra sehem za Siri kuzingatiwa
- kuvaa nguo ya ndani aina ya cotton iliosafi na kavu
*Namna ya kuepuka UTI*
- Kunywa maji mengi ili kusaidia kusafisha mfumo wa mkojo.
- Kukojoa mara kwa mara
- kujiosha na maji mengi baada ya kujamiiana.
- Kuwa na usafi wa mwili, hasa sehemu za siri.
- Kuepuka matumizi ya bidhaa za kemikali kwenye sehemu za siri.
- Kula vyakula vyenye asidi k**a vile cranberry, ambavyo vinaweza kusaidia kuzuia ukuaji wa bakteria.
- kuvaa nguo safi na kavu
- kusafisha mazingira yaliohatarishi
*Madhara ya UTI*
- UTI isipotibiwa inaweza kusababisha matatizo makubwa k**a vile maambukizi kwenye figo (pyelonephritis).
- Inaweza kusababisha matatizo ya uzazi kwa wanawake.
- Uwezekano wa kupata UTI mara kwa mara.
*Vyakula vinavyopaswa kuliwa*
- Maji: Kunywa maji mengi kila siku.
- Cranberry: Juisi ya cranberry inaweza kusaidia kuzuia UTI.
- Yoghurt: Ina probiotics ambazo zinaweza kusaidia katika afya ya mfumo wa mkojo.
- Vyakula vyenye vitamini C: K**a machungwa na papai, vinaweza kusaidia kuongeza asidi ya mkojo na kuzuia ukuaji wa bakteria.
- vyakula vyenye vitamin na protein k**a vile mboga za majani, maharage, mayai mchemsho n.k.
Kwanini huponi UTI ingawa umetumia dawa sana ,au inapona na kurudi kila mara
Ukweli usiopingika wanawake wananjia fupi sana ya uzazi hivo hupelekea kuugua mara kwa mara hata hivo ,kadri unavovaa taulo za k**e ndivo unavyofonza normal flora na kuacha eneo la uke kubaki bila ulinzi wowote,na mwishowe inakuwa vyepesi sana kupata maambukizi mapya kila siku.
Suluhisho la kudumu
Ipo tiba inaitwa vaginal care hii utatumia pindi utokapo hedhi ili kurejesha wale bacteria wazuri aaliovyonzwa na taulo la k**e kumbuka upungufu wa normal flora matokeo yake ndo kuugua UTI mara kwa mara ,uchafu ,harufu mbaya ,PID ,ukavu ukeni na nk
Tiba hii ni nzuri Sana
Na habari mbaya ni kwamba vaginal care Sasa Tanzania zimebaki chache hii ni kutokana na uduni wa viambata vinavyoitengeneza tiba hii ,,asili ya viambata hivo ni marekani ,Sasa pamekuwa na uduni ama upatikanaji hivo kuanzia mwezi huu na kuendelea hazitakuwepo Tena mpka tutakapo toa taarifa Tena ,hivo basi k**a unaona ni kitu muhimu agiza Sasa
Haina madhara kabisa
0620577212
07/06/2025
SABABU ZA KURUDI KWA MAAMBUKIZI YA MFUMO WA MKOJO (UTI) NA NJIA ZA KUZUIA
Utangulizi:
Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) ni tatizo la kawaida linalowapata watu wa jinsia zote, lakini hususani wanawake. Mara nyingine, mtu anaweza kupona baada ya matibabu lakini ugonjwa hurudi tena baada ya muda mfupi. Hali hii huitwa "recurrent UTI" au UTI inayojirudia.
Sababu Kuu za UTI Kujirudia:
1. Matibabu Yasiyo Kamili: Kutotumia dawa kwa muda unaotakiwa au kutumia dawa zisizo sahihi kwa aina ya bakteria husababisha baadhi ya bakteria kubaki na kurudia maambukizi.
2. Bakteria Suugu kwa Dawa (Antibiotic Resistance): Bakteria wanaweza kuwa na uwezo wa kustahimili dawa nyingi (multi-drug resistance) na hivyo kuendelea kuwepo mwilini hata baada ya matibabu.
3. Tatizo la Kimaumbile: Maumbile yasiyo ya kawaida ya mfumo wa mkojo k**a vile kibofu kisichojaza au kutoa mkojo vizuri huweza kuruhusu bakteria kurudia kirahisi.
4. Usafi Duni wa Sehemu za Siri: Usafi hafifu baada ya haja ndogo au kubwa unaweza kuchangia bakteria kuingia tena kwenye mfumo wa mkojo.
5. Mahusiano ya Kimapenzi: Kujamiiana bila usafi au bila kujikinga kunaweza kuchangia bakteria kuingia kwenye njia ya mkojo hasa kwa wanawake.
6. Ukosefu wa Maji ya Kutosha: Kutokunywa maji ya kutosha husababisha mkojo kukaa muda mrefu kwenye kibofu na hivyo kutoa mazingira mazuri kwa bakteria kuzaliana.
7. Magonjwa Yanayoshusha Kinga ya Mwili: K**a vile kisukari, magonjwa ya autoimmune, au matumizi ya dawa zinazoshusha kinga.
Vipimo Muhimu vya Kufanya kwa UTI Inayojirudia:
Urine Culture & Sensitivity Test (kuona aina ya bakteria na dawa inayofaa)
Full Urinalysis
Ultrasound ya Figo na Kibofu
Kipimo cha kisukari (FBS, HbA1c)
Njia za Kuzuia Kurudi kwa UTI:
Tumia dawa zote k**a ulivyoelekezwa na daktari
Osha sehemu za siri kwa maji safi baada ya haja ,Lakini pia sio kila maji ni yakutunua.
Epuka kubana mkojo kwa muda mrefu.
Kunywa maji mengi kila siku (angalau lita 2).
Oga kabla na baada ya tendo la ndoa.
Weka usafi wa ndani (chupi za pamba, zisizo bana sana).
Anika chupi juani zikae masaa 6 kwenye jua
---
Virutubisho Vinavyosaidia Kuzuia UTI Kurudi:.........
2.femicare Cleanser – Kwa wanawake, husaidia kulinda mfumo wa uzazi na kupunguza UTI zinazojirudia,pia inaongeza kiwango Cha bacteria wazuri ukeni ili kupambana dhidi ya maambukizi.pia ni nzuri Kwa matumizi ya usafi wa uke baada ya kutoka hedhi au baada ya kufanya mapenzi ,hii itasaidia kuondoa maambukizi k**a yapo
Karibu nikuhudumie
Piga 0620577212
21/05/2025
Maana ya PID ni pelvic inflammatory diseases manaake ni maumbukizi katika via vya uzazi au katika shingo kizazi.
*Dalili za PID ni zipi?*
Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID. Miongoni mwa dalili hizi ni
👉Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu
👉Kupata maumivu ya mgongo
👉Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri wenye harufu mbaya na miwasho
👉 Utoko huu huambatana na harufu mbaya.
👉Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
👉Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa ni maumv makali sana na yana umiza sana
👉Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi na hedhi kuto eleweka
👉Kupata homa
Wakati fulani kuhisi kichefuchefu na
Pia kutapika
Na PID ndio chanzo kikubwa cha ugumba kwa wanawake kwasabu makovu yake husababisha fibroids yani njia za fallopian tubes kuwa blocked (kuziba) hivyo manii haziwezi kupita.. na PID huwezi kutibu kwa kutumia antibiotic kwasabu ugonjwa huu ni wakuambukizwa kupitia ngono... antibiotic ni sumu ambyo bacteria hubadilika umbo pindi wanapo ona sumu na badae tatizo huanza tena.
Kwa ushauri, Elimu na matibabu wasiliana nami kupitia number 📞0620577212
21/05/2025
BAWASILI/MGOLO🍀
☇bawasili ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza k**a uvimbe au kinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje.
☇kwa kiingereza hujulikana k**a piles.
☇na kitaalam hujulikana k**a haemorrhoids/piles
🍀AINA ZA BAWASILI🍀
👉1. BAWASILI YA NJE
Aina hii ya bawasili hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na kuambatana na maumivu makali, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (veins)hupasuka na dam kuganda hivyo kusababisha na kusababisha aina hii ya bawasili ambapo kitaalam inafahamika k**a Thrombosed haemorrhoid.
👉2.BAWASILI YA NDANI
Aina hii ya bawasili kinyama au uvimbe huota ndani ya njia ya haja kubwa na inaweza kutoka nje na kurud wakati wa kujisaidia au ikashindwa kurudi mpaka irudishwe kwa mkono
🍁BAWASILI HUSABABISHWA NA NINI?
👉Kufunga choo au kukosa choo kwa muda mrefu
👉Ujauzito-wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasili kwasababu ya msukumo wa mtoto karibia na sehem ya haja kubwa
👉kushiriki penzi kinyume na maumbile
👉Uzee- kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa ugonjwa huu kwa baadhi ya watu.
👉Sababu za kurithi- baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaufu wa ukuta huo wa njia ya haja kubwa ingawa ni kwa asilimia chache.
👉kuharisha sana kwa muda mrefu
👉kutumia vyoo vya kukaa
👉kunyanyua vyuma vizito
👉mfadhaiko stress
👉uzito na unene kupita kiasi
🍀DALILI ZA BAWASILI 🍀
👉maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
👉Damu kutoka wakati wa kujisaidia
👉kupata muwasho sehem ya haja kubwa
👉uvimbe au kinyama kuota sehem ya haja kubwa
👉hajakubwa yaweza kujitokea mda wowote
👉choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu
👉maumivu makali ya kiuno na mgongo
👉tumbo kujaa gesi mara kwa mara
👉kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula.
👉kukosa usingizi
👉watu wengine macho kuwa mekundu
Mawasiliano Whatsapp/call
0620577212
Click here to claim your Sponsored Listing.