Chalinze viwanja
08/11/2025
MILIKI ARDHI/KIWANJA LEO
Eneo la Mradi PINGO SHULE, CHALINZE - PWANI.
📞0762201030
SIFA ZA MRADI
✅Bei kwa Square Meter moja ni Tsh.4000/=
✅Malipo ni kwa Pesa taslimu(cash) au kwa awamu hadi Miezi 24.
✅Ukubwa wa Viwanja kuanzia 600 sqm hadi 2400.
✅Mradi upo umbali wa mita 500 kutoka barabara kuu ya Morogoro - Dar es Salaam.
✅Mradi upo umbali wa Mita 800 kutoka kilipo kiwanda cha Twyford Tiles.
✅Mradi upo umbali wa kilomita 3 kutoka Chalinze mjini.
✅Mradi upo karibu na Bandari kavu ya Vigwaza.
✅Huduma zote Muhimu k**a vile maji, umeme, shule zipo karibu na mradi
✅Utapatiwa Hati miliki baada ya kukamilisha malipo yote.
Wasiliana nasi kupitia namba
0762201030
Karibu ofisini Kwetu,
28/10/2025
Visit TikTok to discover videos! Watch, follow, and discover more trending content.
14/07/2025
*SIFA ZA MRADI WETU WA NEW CHALINZE CITY, PINGO AREA*
1. Bei ni TZS 4,000/= tu kwa Sqm.
2. Mteja anaruhisiwa kulipa kidogo kidogo hadi miezi 24.
3. Mteja anapatiwa HATI mara tu anapo maliza kulipa.
4. Viwanja ni vikubwa sana kuanzia Sqm 600 hadi 2,400 Sqm.
5. Viwanja vipo umbali wa Mita 500 toka barabara kuu ya DAR-MORO.
6. Mradi unatazamana na Kiwanda cha Vigae cha Twyford.
7. Mradi uko umbali wa Km 3 toka Chalinze Mjini.
8. Umeme wa TANESCO upo umbali wa mita 30 toka ulipo kwa jirani hadi vilipo viwanja.
9. Maji ya bomba yanapatikana Pingo.
10. Maduka ya vifaa vya ujenzi yapo ya kutosha.
11. Vigae toka kiwandani vipo kwa bei poa.
12. Wapangaji wa nyumba wapo wengi sana wengi wao wakiwa ni wafanyakazi wa Kiwanda cha Twyford Tiles.
13. Mahitaji ya nyumba za kulala wageni ni makubwa sana kwa sababu ya maroli ya viwandani.
📞0762201030
Asantei na Karibu.
Click here to claim your Sponsored Listing.