afyaBora

afyaBora

Share

06/04/2025

Sickle cell disease (SCD) ni ugonjwa wa damu unaosababishwa na mabadiliko katika hemoglobini, protini inayosaidia kubeba oksijeni kwenye seli nyekundu za damu.

Katika SCD, hemoglobini haifanyi kazi vizuri na seli nyekundu za damu huwa na umbo la ncha ya panga badala ya kuwa za mviringo na laini.

Hii inasababisha seli za damu kuwa ngumu na kushindwa kupita kwa urahisi kupitia mishipa ya damu, na hivyo kusababisha maumivu, uharibifu wa viungo, na matatizo mengine ya kiafya.

Dalili kuu za sickle cell

Dalili kuu za sickle cell..

Itaendelezea kwenye next post

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Morogoro