SSL BRAND

SSL BRAND

Share

04/04/2026

Mwizi wa sehemu za siri, wakati wamembana aseme nani kamtuma na kwanini kamchukulia mwenzie akasema kuna mchungaji mkubwa wa hapa Tanzania kamtuma. Wakamwambia amrudishie sehemu zake za siri akasema yeye hana huo uwezo hadi huyo mchungaji ambaye mashuhuda wamegoma kulitaja jina lake kwa usalama zaidi.

Namna alivyo zitoa sehemu za siri, alimuomba hela ya nauli mtu ambaye alimgomea na badae akamuaga kwa kumwambia poa mwanangu akimpiga Kofi kidogo begani. Na sekunde kadhaa tu mwili wa aliyeguswa begani ukavaibrate na jamaa akatazama sehemu zake hazioni na kuamua kuwaambia washikaji zake. Mwanzo hawakuamini walipo mtazama kweli hakuwa na sehemu zake k**a awali, ikabidi wamtafte huyo mtu na bahati hakuwa mbali, alikuwa akiongea na masai na kwenda kuongea naye na kumtaka arudishe alicho chukua.

Hadi polisi wanampeleka kituoni, jamaa aliyeporwa sehemu zake bado yupo vile vile sehemu zake hazijarudi bado.

Dunia imeisha Alooo Balaaaaa
Follow BRAND

STEVE MWEUSI MEGA MIX OFFICIAL VIDEO 05/02/2025

Kazi nzuri imefanywa na Steve sikiliza uta enjoy usisaau Ku subscribe channel SSL BRAND YouTube fata link hii

STEVE MWEUSI MEGA MIX OFFICIAL VIDEO

Tizama Hadi mwisho harmonize akipanda jukwaani mkutano mkuu CCM Dodoma 27/01/2025

TIZAMA HARMONIZE ALIVYO KIWASHA DODOMA MKUTANO CCM

Tizama Hadi mwisho harmonize akipanda jukwaani mkutano mkuu CCM Dodoma

ZUCHU FT DIAMOND PLATNUM__WALE WALE OFFICIAL AUDIO 30/11/2024

Zuchu FT DIAMOND wale ingia umo uicheek

ZUCHU FT DIAMOND PLATNUM__WALE WALE OFFICIAL AUDIO

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address

Ifakara
Morogoro