AfyaCheck

AfyaCheck

Share

21/01/2024

SaBABU ZA UKOSEFU NGUVU ZA KIUME.
1.Shinikizo kubwa la damu
2.Msongo wa mawazo
3Kiwango Cha chini cha homoni ya testosterone
4.Uvutaji wa sigara
5.Ulevi kupindukia nk

Wasiliana na daktari kwa ushauri na tiba
Whatsapp no 0719530716

ONDOA KITAMBI 19/01/2024

JIUNGE UPATE MAFUNZO YA KUONDOA KITAMBI NA KUPUNGUZA UNENE

ONDOA KITAMBI WhatsApp Group Invite

11/01/2024

6.ALBENDAZOLE

Dawa hii hutumika kutibu minyoo lakini ikitumiwa na mama mjamzito, husababisha mimba kutoka. Madaktari hushauri kutumika kwa dawa nyingine mbadala kutibu minyoo mfano mebendazole lakini siyo Albendazole.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na daktari kwa ushauri.
Whatsapp no 0719530716

07/01/2024

2) Misoprostol

Hii ni dawa ambayo ipo kwenye kundi la prostaglandins analogue, ambazo hutumika kuongeza njia ya mlango wa uzazi kipindi cha kujifungua. Pia hutumika kutibu vidonda vya tumbo. Hii ni hatari kwa mama mjamzito kwa sababu husababisha mimba kutoka (miscarriage).

Wasiliana na daktari kwa maelezo zaidi.
Whatsapp no 0719530716

04/01/2024

DALILI ZA KIFAFA CHA MIMBA(ECLAMPSIA)
1.Shinikizo la damu kuwa kubwa
2.Maumivu ya kichwa
3.Kuvimba uso na mikono
4.Kupata shida wakati wa kukojoa
5.Kuongezeka uzito
6.Matatizo ya kuona nk

Wasiliana na daktari kwa ushauri na tiba
Whatsapp no 0719530716

Want your practice to be the top-listed Clinic in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Morogoro