amini_viatu
10/12/2025
Huyu dada baada ya kuulizwa ni wanaume wa kabila gani hawezi kuwa nao amejibu ni wasukuma, kwanini?
Dada kasema amewahi kuwa na mwanaume wa Kisukuma, siku yake ya kuzaliwa ilivyo karibia mwanaume huyo akamuahidi kuwa siku hiyo ya kuzaliwa atamtumia zawaidi hiyo, mwanaume huyo alikuwa mwanza,
Siku ya tukio mwanaume akamwambia kapokee zawadi, dada Kwa furaha akamtuma bodaboda, baada ya zawadi kumfikia Ile tu anafungua akakutana na samaki, unaambiwa toka siku hiyo akasema hawezi kuwa na wanaume wa Kisukuma ni washamba, siku ya kuzaliwa unatumaje samaki k**a Zawadi?!
Wewe ni kabila gani huwezi date nao?
Tunafeli wapi wazee hasa wewe Ben Saleeh na Geofry Paulo 😅
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |