Nelly packages
29/01/2026
Weka order kwa bei rahisi...
Free delivery ipo kwa watu wa mbeya
Kwa bei ya jumla na reja reja
Namba ipo kwenye profile
27/01/2026
🥜 Siagi ya Karanga Safi – Leo Ipo
Imetengenezwa kwa karanga bora
✔️ Nzuri li
✔️ Inashibisha
✔️ Inafaa kula na mkate, ndizi au uji na mboga mbali mbali
📍 Inapatikana karibu na wewe
📲 DM / WhatsApp kwa order
26/01/2026
🥜 Siagi ya Karanga Safi 100% 🥜
Hakuna chemicals, hakuna unga — karanga + uaminifu tu.
Inafaa kwa: ✅ Mkate
✅ Uji
✅ Kupikia
✅ Wanafunzi & familia
📍 Tunapatikana karibu (DM / WhatsApp)
📦 Mauzo yanaendelea – karibu uonje ubora
👉 Order mapema kabla haijaisha
📲 Tuandikie DM au WhatsApp
🕒 Tunapokea order
🏷️ HASHTAGS:
25/01/2026
Peanut butter ya asili, safi na fresh kabisa.
Hakuna chemicals, hakuna mchanganyiko.
📍 Mbeya
Mawasiliano yapo kwenye profile.
23/01/2026
Hatimaye imefika 🥜
PEANUT BUTTER ya asili, safi na yenye ladha ya kweli sasa ipo Mbeya.
Batch ya kwanza ni ndogo.
K**a ungependa kuijaribu,
👇
Mawasiliano yapo kwenye profile. Tupigie kawaida au whatsapp
20/01/2026
Watu wengi Mbeya bado hawajawahi kujaribu peanut butter ya asili.
Wewe je?
🥜 Umeshahi kuitumia?
A️⃣ Ndio
B️⃣ Hapana
Andika A au B 👇
19/01/2026
Nipo kwenye maandalizi ya kuleta
peanut butter ya asili hapa Mbeya.
Kabla sijaendelea, nataka nijue tu 👇
ni watu wangapi wangependa kuipata?
Comment NIPO k**a ungehitaji
au NITAJARIBU k**a ni mara ya kwanza
18/01/2026
Ukipata peanut butter ya asili hapa Mbeya,
ungeipenda iwe na ladha ipi zaidi?
A️⃣ Plain (hakuna sukari)
B️⃣ Kidogo sweet
C️⃣ Sijawahi kutumia peanut butter
Comment A, B au C 👇
17/01/2026
Mimi ni kijana wa Mbeya, mwanafunzi,
niliamua kuanza ukurasa huu kwa lengo la
👉 kuleta bidhaa za asili
👉 kwa bei rafiki kwa wanachuo na jamii
Kwa sasa naanza na peanut butter ya asili 🥜
(hakuna kemikali, hakuna kuongeza vitu visivyo vya lazima)
Safari bado inaanza.
Ukiona wazo hili ni zuri, niandikie comment 👍
au follow page ili usikose updates.
16/01/2026
Wanachuo na wakazi wote wa Mbeya tunajiandaa kuleta peanut butter 🥜 ya asili, safi na isiyo na kemikali hapa Mbeya!
Ungependa kupata kwa ajili ya mboga, snack, uji au kwa matumizi gani???
Comment hapo chini
15/01/2026
Kazi moja wapo ya peanut 🥜 butter ni kupendezesha mboga na kufanya iwe tamu mnoooo......
Je, wewe ungependa kuitumia wapi??
Andika kwenye comment
14/01/2026
Hapa chini ni matumizi mbali mbali ya PEANUT BUTTER 🥜..........Je, wewe ungependa kuitumia wapi?? Andika kwenye comment
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
53000