Ipende ngozi yako

Ipende ngozi yako

Share

28/07/2025

Pia tuna deal na wale wenye changamoto ya Nguvu za kiume, utajifunza mambo mbali mbali kuhusu afya ya uzazi wa mwanaume, changamoto, namna ya kujiimarisha na kadhalika

28/07/2025

Kwa wale wanao sumbuliwq na vipele na miwasho sehemu yeyote ya mwili , tunawaletea AlOE PROPOLIS CREME,pamoja na ALOEVERA GELLY,👍 hauto sumbuliwa tena

28/07/2025

Watu wengi huwa hawajui kwamba changamoto ya ngozi inatokana na namna wewe mwenyewe unavoi treat ngozi yako, wengi huwa wanashangaa wanapoona ngozi zao zikiharibika au kuwa na (muonekano mbaya), kuwa na chunusi uso mzima na hata kukunjamana na wasijue suluisho ni nini!? ukweli ni kwamba afya ya ngozi yako haitegemei tu namna unavyoitunza kwa nje Bali kuna uhusiano mkubwa kati na ngozi yako pamoja na mlo unaokula unachangia kwa kiasi kikubwa kukuza,kuboresha na kuimarisha afya ya ngozi yako na kuwa na muonekano mzuri. K**a una changamoto yeyote ya ngozkaribu nikusaidie. namba yangu ni 0794 436 011 AHSANTE

22/07/2025

Aisee chuma hiki apa🔥🔥🔥!! (FOREVER BRIGHT) imetengenezwa kwa mmea wa aloevera Kwa wale wateja wangu waliowahi kuitumia nadhani wanaifahamu Vizuri, ni Bomba sana, kiboko ya tatizo lolote la kinywa 🦷 ina matokeo mazuri ndani ya muda mfupi. Uliza google watakwambia. kazi zake
1.kuondoa maumivu ya meno

2.fizi kuvimba na kutoka damu

3. Vidonda vya kinywa

4.huondoa harufu mbaya mdomoni kabisa!!!

5.kung’arisha meno

Tunakufikia popote ulipo mpaka nyumbani kwako ☎️0794436011

22/07/2025

Hello guys! Tumewaletea hii apa lotion Bomba sana👍 inaitwa (R3 FACTOR) ni bidhaa kutoka FOREVER LIVING COMPANY . Ni kwa watu wote wanaume kwa wana wake , ina matokeo makubwa sana K**a unavyo ona , kazi yake ni kung’arisha ngozi na kuondoa mikunjo Au makunyanzi lakini pia huifanya ngozi yako kuwa soft K**a mtoto mchanga😊

Photos from Ipende ngozi yako's post 22/07/2025

Hayo ni matokeo ya bidhaa🥰🥰, si mchezo🔥.hatubahatishi wala hatuna utani kwa watejawetu

22/07/2025

Our new product 🔥🔥🔥 , Sonya illuminating gel. Faida zake
1. Huondoa chunusi sugu na uvimbe katika ngozi

2. Kusafisha ngozi na kung’arisha ngozi

3.hupunguza ukubwa wa vitundu vya ngozi

4. Hukuza ngozi

22/07/2025

Popote ulipo tunakufikia 0794436011

20/07/2025

Ni ni ni husababisha ngozi kuwa kavu??!🤷🤷 , nitafute kwa msaada zaidi kuhusu ngozi yako 0794436011

19/07/2025
Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Mbeya