OSIA PAGE

OSIA PAGE

Share

22/07/2025

hi

16/07/2025

nayeye yupo tu

16/07/2025

mimi mwenye nipo tyu

16/07/2025

hapo ni wap wazee

16/07/2025

big boy from sway town

15/07/2025

SIMBA SC Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Usajili: "Tupo Imara, Taarifa Za Mitandaoni Ni Uzushi" 🦁⚽

Kupitia msemaji wake, klabu ya Simba SC imewatakia mashabiki wake Jumatatu njema huku ikiwataka kuwa na subira na utulivu wakati huu ambapo uongozi unaendelea kukamilisha mikakati ya usajili wa wachezaji kwa ajili ya kuimarisha kikosi kwa msimu ujao.

Msemaji huyo pia amepuuza taarifa zinazozagaa mitandaoni kuwa kila mchezaji anayetakiwa na Simba amechukuliwa na wapinzani, akisisitiza kuwa:

“Hizo ni taarifa za uzushi. Wachezaji tuliowataka tumewapata, na wengine hatujawahi kuwahitaji. Wanahusishwa nasi makusudi ili kuongeza thamani yao au kutuchafua tuonekane tumezembea sokoni.”

Amesisitiza kuwa Simba iko imara sana kwenye dirisha hili la usajili, na mashabiki wawe na imani na kazi inayoendelea kufanyika ndani ya klabu.

15/07/2025

hapa vi c😄😅😅😅

15/07/2025

hi😅😅😃😃😃😃😄😄

Want your business to be the top-listed Clothing Store in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address

2019
Mbeya