AFYA BORA NA Rachel

AFYA BORA NA Rachel

Share

25/10/2024
24/10/2024

*JE WEWE CHANGAMOTO YAKO IPI KATI YA HIZI ZIFUATAZO*

*1.Homon Imbalance.?*

*2.Kutoshika mimba.?*

*3.Mimba kuharibika zenyewe.?*

*4.Kuziba kwa Mirija ya uzazi.?*

*5.Uvimbe ktk kizazi.?*

*6.Mayai kutopevushwa.?*

*7.Maumivu makali sana ukiwa hedhi.?*

*8.Hedhi isiyo na mpanglio.?*

*9.Kutopata hedhi na kutoshika mimba*.

*10.Hedhi nyingi na ya mabongemabonge.?*

*11.Hedhi chini ya siku 3 au zaidi ya siku 7.?*

*12.Fangas sugu, U.T.I sugu, P.I.D, miwasho, uchafu na harufu mbaya ukeni?*

*13.Maumivu makali unaposhiriki tendo la ndoa.?*

Karibu kwa ushauri na tiba,changamoto zote zinatibika na kuisha bila kujirudia tena. Piga 0763144055

AFYA BORA NA Rachel AFYA YA MAMA NA MTOTO

19/10/2024

FAHAMU KUHUSU PID

19/10/2024

Madhara Ya PID.

📌Maumivu ya pelvic: Wanawake wenye pid wanaweza kuhisi maumivu au presha katika eneo la pelvic.

📌 Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya au usio wa kawaida.

📌Kuwa na mzunguko WA hedhi usioeleweka.Wanawake wenye pid wanaweza kukutana na kutokwa na damu baada ya kushiriki tendo la ndoa.

📌 Maambukizi ya PID yanaweza kusababisha maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

📌 Homa. Baadhi ya wanawake wenye pid wanaweza kupata homa au kuhisi baridi.

📌 Baadhi ya wagonjwa wa PID wanaweza kupata kichefuchefu au kutapika.

📌. Maambukizi yanapelekea maumivu ya mgongo au kifuani.

📌 Wanawake walio na PID wanaweza kujisikia uchovu au dhaifu mwilini.

Onyo! Usipotibu PID upo hatarini kupata saratani ya mlango wa kizazi, kukosa mtoto. Nipo hapa Rahel Health Consultant kukupa suluhisho la kudumu.

https://wa.me/255763144055
Au piga
+255763144055.

TikTok · Rahel Health Consultant 25/07/2024

TikTok · Rahel Health Consultant Check out Rahel Health Consultant’s post.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Mbeya

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00