Jr Sports Tz

Jr Sports Tz

Share

09/03/2024

anasema hakuna golikipa anayemfikia Manula pale Simba.

Mnakubali au Hamtaki?

09/03/2024

RATIBA YA MECHI ZA LEO LIGI KUU
MTIBWA SUGAR πŸ†šοΈ TZ PRISONS
⏰ 16:00
🏟 Manungu Stadium
COASTAL UNION πŸ†šοΈ SIMBA SC
⏰ 18:00
🏟 Mkwakwani Stadium
DODOMA JIJI πŸ†šοΈ GEITA GOLD
⏰ 20:15
🏟 Jamhuri Stadium
Ligi kuu itaendelea leo kwa michezo mitatu kupigwa, mechi itayotazamwa zaidi ni kati ya dhidi ya Mnyama huwa hajeruhiwi mara mbili, Baada ya Simba kupoteza points zote tatu pale Morogoro bila shaka leo wana hasira ya ushindi ili kurejesha matumaini ya ubingwa.
Je ni kweli mnyama huwa ajeruhiwi mara mbili? Tusubili baadae.

08/03/2024

WANANCHI anasema muache uchawi.

08/03/2024

Tuanze hesabu za ubingwa au bado mapema?

Yanga wamebakiwa na mechi 13 wakishinda 10 wanabeba ubingwa.

Ili Simba wamzuie Yanga kubeba ubingwa inataikwa washinde mechi zote zilizobaki (14) huku wakimuombea Yanga apoteze mechi 4.

Katika mechi 14 ambazo Simba anatakiwa ashinde zote mbili ni dhidi ya Yanga na Azam.

08/03/2024

Young Africans πŸ‡ΉπŸ‡Ώ itamkosa kiungo wake Khalid Aucho πŸ‡ΊπŸ‡¬ kwa muda mrefu kutokana na majeraha yanayomkabili.

❌ Ataikosa robo fainali ya CAF CL na Kwa mujibu wa chanzo changu, anaweza kuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi kadhaa.

[ ]

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address

Kandete
Mbeya