samwelmmasa
Follow the UFAHAMU WA NENO LA MUNGU channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCQIq7C1FuIQQaWBt1Z
07/08/2025
Upendo wa Mungu kwetu
21/07/2025
*NENO LA LEO, 21 JULY 2025*.
Yeremia 31:25
Kwa maana nimeishibisha roho yenye uchovu, nami nimeiridhisha kila roho yenye huzuni.
✍🏾Katika dunia hii tunakutana na mengi ya kuchosha na kuhuzunisha. Lakini Bwana ndiye hutusaidia katika yote na katika yeye tunapata ridhisho la nafsi zetu zenye kuchoka na huzuni.
17/07/2025
*NENO LA LEO, 17 JULY 2025*.
MATHAYO 11:12
Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka.
✍🏾Kuurithi ufalme wa Mungu si lelemama, yahitaji kujikana na kujitoa katika Roho na Kweli, pasipo nguvu (Jitihada) huwezi kuingia. Ng'ang'ana sana chochote kisikufanye uukose au usiingie .
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the place of worship
Address
Mbeya