Leo Kesho Org
30/05/2026
Mr. Edward Lugongo, representing the Guest of Honour, the Mbozi District Commissioner, delivering remarks to stakeholders during the launch of the “Community-Led Natural Water Sources Management” project.
The project, implemented by Leo Kesho Organization, is currently being carried out across 15 wards in Mbozi District, Songwe Region, with the aim of strengthening community participation in the sustainable management and protection of natural water sources.
Leo Kesho Organization highly values collaboration and active participation from all stakeholders in the successful implementation of this project; therefore, we warmly welcome all partners and stakeholders to join us in this important initiative.
Bw. Edward Lugongo, akimwakilisha Mgeni Rasmi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, akitoa salamu na maelekezo kwa wadau waliohudhuria uzinduzi wa mradi wa “JAMII KIONGOZI MSIMAMIZI WA VYANZO ASILIA VYA MAJI”.
Mradi huu unaotekelezwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Leo Kesho katika kata 15 za Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe, unalenga kuimarisha ushiriki wa jamii katika usimamizi endelevu na uhifadhi wa vyanzo asilia vya maji kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.
Leo Kesho inakaribisha wadau mbalimbali kushiriki kwenye utekelezaji wa mradi huu. Asante kuwa wadau
Ashoka
.educacion
.uc
29/05/2026
🌍💧 Exciting News from Leo Kesho Organization!
We are proud to launch a new initiative aimed at protecting and sustainably managing natural water sources in Mbozi District. The project seeks to strengthen community ownership, enhance local governance, and promote environmental conservation practices to ensure long-term water security and build resilience against climate change.
Together, we can safeguard vital water resources for the well-being of both present and future generations. Join us in this important journey toward a more sustainable and resilient future.
02/04/2026
Empowering community structure/Community Service Committees during the project implementation is leding to the project sustainability.
Leo Kesho Organization through its environmental experts is Empowering Water and Environment Committee at Ibebwa village -Msia Ward at Mbozi District Council, Songwe region-Tanzania during the on going "Community-Led Water Sources Management Project"
www.leokesho.or.tz
28/03/2026
Alama hizi husaidia wananchi kutambua mwisho wa shughuli zao hasa kilimo na uchungaji wa mifugo, hivyo kusaidia uhifadhi na utunzaji wa vyanzo vya maji asilia.
Kupitia mradi wa "Jamii Kiongozi Msimamizi wa Vyanzo Asilia vya Maji -Songwe/Mbeya, tutaweka alama hizi ili wananchi waweze kutambua mipaka ya vyanzo vya maji ambavyo huwasaidia kupata maji ya kutumia katika shughuli mbalimbali za kila siku.
Ewe taasisi inayojihusisha na utunzaji wa mazingira na uhifadhi wa vyanzo vya maji tunakukaribisha kuungana nasi kutekeleza mradi huu katika mikoa ya Mbeya na Songwe.
Wasiliana nasi kwa: [email protected] au +255742491734
.inc
09/08/2025
💧 Mabadiliko Kwenye Jamii Yanatuhusu Sote 💧
Mnamo tarehe 18 Julai 2025, tulikutana na baadhi ya wadau wa mabadiliko, kikao hiki cha kwanza kilichofanyika kijiji cha Ibembwa wilaya ya Mbozi.
Mikutano hii inawaleta pamoja wadau katika maendeleo ya jamii, viongozi, watu wenye ushawishi kwenye jamii ili kujifunza pamoja kwa kupeana mrejesho wa juu ya kazi inavyoendelea kwenye jamii, kubadilishana maarifa na uzoefu, na kwa pamoja kutafuta njia ya kupambana na changamoto.
Mkutano huu ni sehemu muhimu katika kushughulikia suala la Utunzaji na Usimamizi wa vyanzo vya maji katika maeneo ya vijijini - changamoto ambayo inaathiri usitawi wa maisha kwa ujumla na mazingira.
Majadiliano na maoni yaliyokusanywa yataongoza hatua zetu zinazofuata kuelekea usimamizi endelevu wa vyanzo vya maji unaoongozwa na jamii.
Majadiliano haya ni sehemu muhimu ya mafunzo yanayotolewa na .uc
Kwa pamoja, tunaweza kulinda vyanzo vya maji kwa vizazi vijavyo.
Ushirikiano wako ni muhimu katika kuchochea mabadiliko haya.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Website
Address
Mbeya