Brave son tz

Brave son tz

Share

03/11/2019

Siku zote jasiri hana mpaka ktk kujiokoa na kutetea wengine wawapo ktk majanga mazito.pia kufeli ktk utetezi wake sio rahisi kwani hufanikiwa kwa kishindo kikubwa.ni sawa na baba kwa mwanae wawapo msituni kupambana na wanyama hatari.hufanya juu chini kumuokoa mwanae asijeruhiwe na hao wanyama.pia nae kijana huyo huonyesha ujasiri kwa kujitetea kupitia mbio na silaha atakayo rushiwa na baba yake ili apambane na Huyo mnyama hatari na hatimaye hufanikiwa.hivyo hata maisha yana hitaji ujasiri ili mafanikio yawe bora.kwani wahenga husema " unaposhikiliwa na wewe shikilia kweli ili usiporomokee kolongoni

03/11/2019

Maisha ni safari ndefu ingawa ukomo wake inategemeana na mavuno ya matendo ya mhusika mwenyewe.k**a ametenda mema ktk safari yake peponi pamuita kwa ndelemo na vifijo.ila k**a ametenda maovu jehanamu pamngoja kwa moshi na moto mzito usio na kikomo.

Want your business to be the top-listed Shop in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address

Tukuyu
Mbeya
700700