Sir Buyange
GENESIS ACADEMIC CENTRE.
Tunapenda kuwataarifu wazazi na walezi kuwa tunaendelea kupokea waitimu wa darasa la saba kwa ajili ya masomo ya PRE-FORM ONE , kwa masomo yafuatayo MATHEMATICS,CHEMISTRY,PHYSICS,BIOLOGY,ENGLISH,GEOGRAPHY and HISTORY. Ambayo tumeanza kufundisha kuanzia tarehe 13 september 2021,
Gharama zetu ni nafuu kabisa , FOMU ni sh 1000, ADA ni sh 13000 tu kwa miezi yote mitatu ambayo itapaswa itolewe pindi mwanafunzi anapoanza masomo. Na k**a ikikosekana pesa iyo , mwanafunz atapaswa kulipa sh 5000 kila mwezi. Pia kila jumamosi kutakuwa na mitiani miwili , ambapo kila mtiani ni sh 200. Wanafunzi 10 wenye maitaji maalumu hasa wasio na wazazi , pamoja na wale ambao wana wazaz au ndugu ila awana uwezo wa kulipia gharama ya ada , na wanaitaji kupata huduma hii ya pre-form one wafike watasoma bure kabisa.! GENESIS ACADEMIC CENTRE Tunapatikana karbu na uwanja wa airpoty wa zaman au karbu na chuo cha uhasibu (TIA)-MBEYA. Kwa mawasilian zaidi tuwasiliane kwa namba 0762518114 & 0783458568. Email: [email protected] karibu sana!!
12/09/2020
Kwa ngazi ya degree Usajili unaendelea, kwa wahitimu wa form six Uwe na pass mbili tu .
Karibu Sana kwa Elimu bola na maaadili mema.
Tuwasiliane zaid kwa :-
0714076896
0764622482
Karibu Sana Catholic University College of Mbeya (CUCoM)
Click here to claim your Sponsored Listing.