Songwe kwetu
06/03/2026
MKURUGENZI WA JIJI LA MBEYA ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA UWANJA WA MBEYA CITY FC
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Justice Laurent Kijazi, ametembelea eneo litakalojengwa uwanja wa Mbeya City FC lililopo Iwambi, lenye ukubwa wa zaidi ya hekari 10.
Kwa mujibu wa taarifa, eneo hilo litajumuisha uwanja wa kuchezea mechi pamoja na miundombinu mingine ikiwemo vyumba vya biashara na maeneo ya shughuli mbalimbali za kiuchumi zitakazosaidia kuongeza fursa za ajira na kukuza uchumi wa wananchi.
Ziara hiyo ni sehemu ya maandalizi ya kuanza kwa hatua za awali za ujenzi wa mradi huo muhimu wa miundombinu ya michezo katika Jiji la Mbeya. Mradi huo unatarajiwa kuwa kichocheo cha maendeleo ya michezo na shughuli za kiuchumi katika eneo hilo. news.
04/03/2026
Israel yaanzisha wimbi jipya la mashambulizi dhidi ya Iran huku Marekani ikiwatambua wanajeshi wake waliouawa
https://bbc.in/3Pe8RjL
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Mbeya