Evo kizzy99
08/03/2026
It is my birthday again thanks lord for another chance
15/02/2026
Nilipita tu leo kumbe mambo so mabaya nawapenda sanaa ndugu zangu❤️❤️💚💚
10/02/2026
More and more and.. more.... together as one
sema neno basi🫣🫣
03/02/2026
Kendrick Lamar now is untuochable with 27 Grammy Awards🏆🏆🙌
03/02/2026
Nini kifanyike 🤔🤔🫢
02/02/2026
Wapenzi na mashabiki wa timu ya pamoja na wake sidhani k**a kuna haja ya kuendelea kugombana na wale mashabiki walio fanya fujo hapo jana baada mchezo kumalizika wasichukuliwe hatua yoyote kila shabiki wa mpira duniani anatambua na anajua jinsi matokeo ya timu yanavyo tesa hisia hasa pale yanapokuwa yani kupoteza. kile kilicho tokea na hasira tu za matokeo unapaswa kutatua hili kwa mazungumzo na si kwa kuchukua sheria kari ambazo zinaweza kupelekea hukumu ya kuvuruga 🙌🙌
Click here to claim your Sponsored Listing.