Prison and Inmates Saving Foundation

Prison and Inmates Saving Foundation

Share

15/11/2023

Maofisa Magereza picha ya pamoja na Member wa PISF Tanzania ndani ya Makao makuu ya Magereza msalato

06/10/2023

Prison and Inmates Saving Foundation (PISF Tanzania) Ni Taasisi ambayo inajihusisha na utoaji wa huduma kwa Wafungwa na mahabusu katika Magereza yote Tanzania Bara. Huduma hizo nik**a ifuatavyo;
1)Kutoa Misaada yakibinadamu katika Magereza k**a Sabuni, Mafuta yakupaka, Nyembe, Taulo zakike, Miswaki na Dawa, Shuka na Magodolo, Sukali, n.k

2) Kutoa msaada wakisheria kwa Mahabusu ambao Hawana uwezo wakifedha wakukutana na mawakili. Kwa kumtambua kuwa Mahabusu au Wafungwa Walio wengi Magerezani Hawana uwezo kifedha hivyo hupelekea kuendelea kusota Magerezani pasipo msaada wowote.

3) Kuwafariji Wafungwa na mahabusu Magerezani kwa kufanya nao ibada za kidini.

4) Kuwawezesha kiuchumi walio maliza Vifungo vyao kwa kufanya nao shughuli tofauti tofauti za uzalishaji ili waweze kupata Mitaji wakaendelee na shughuli za ujasiliamali ili kukuza pato la Taifa letu.

5) Kuwaongezea Ujuzi Wafungwa na mahabusu waliomo magerezani, Kwa kutambua kuwa Asilimia kubwa ya wafungwa/ Mahabusu wanakuwa na talent/ vipaji vyao, Hivyo huperekea vipaji hivyo kuzolota.

6) Kuhakikisha Wafungwa wa Vifungo vya nje nao Wanawezeshwa kiuchumi pia.

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address

Rujewa
Mbeya