Vj Salv Smart
21/12/2025
Ukicomment Kwa Post Yangu nakuzawadia GB 1 BURE 😊
09/12/2025
Tofauti kati ya BUSARA NA AKILI
Akili Unatakiwa upate mia chini ya mia
Busara unatakiwa urudishe mtihani ivo ivo bila kuufanya wala kuuchafua😊