Mwambe Mixer Shop

Mwambe Mixer Shop

Share

07/05/2018

***PALE 'UNAPOGANDA' KUMSUBIRI ASIYEKUAHIDI***
Karibu sana 'Mwambe Mixer Shop' kwaajili ya kujipatia Speare mbalimbali za Pikipiki, Baiskeli nk kwa bei nafuu saana tena zenye ubora wa hali ya juu.

Lakini pia tuna nguo za kutokelezea kwa kila nyanja iwe wale wa misikitini, makanisani, mavazi special kwaajili ya harusi/sherehe k**a vile ndoa, birthday, partys etc, aidha tuna nguo special kwaajili ya sikukuu za kada zote

Kumbuka tuna nguo na viatu kwa kila rika yaani wakubwa na wadogo, weupe na weusi, warefu na wafupi, wanene na wembamba nk

Kumbuka;- Vyote hupatikana Jumla na Rejareja so Karibu saaana...

Tupo Mtaa wa Balewa - Lindi Mjini Tz, tufuatilie sasa kupitia mobile number 0717081280/ 0684100640

23/04/2018

Wanadamu hatuna budi kufuata njia za Bwana wetu Yesu Kristo 'Mwana wa Mungu aliye hai' kwa kuelekea Kanisani

Want your business to be the top-listed Shop in Lindi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address

BALEWA-LINDI
Lindi