Nei Pharmacy

Nei Pharmacy

Share

04/02/2021

tupigie simu au tuma order yako whatsapp tukuandalie mzigo chap chap utumiwe POPOTE ULIPO

0656036050 (whatsapp) au 0686515158

Malipo yanaweza kufanyika kupitia

1. bank ya NMB - 70210030883 NEI PHARMACY
2. kutuma kwenda number zetu 0656036050 (TIGO) au 0686515158 (AIRTEL)
3. toa ela kupitia wakala yetu ya AIRTEL MONEY - 219559

MALIPO YOTE YA MTANDAONI YANATUMWA BILA YAKUTOLEA 😁

12/01/2021

NEI PHARMACY INAWATAKIA WOTE A HAPPY ZANZIBAR REVOLUTION DAY

Photos from Nei Pharmacy's post 19/12/2020

ni kazi k**a kawaida, AFYA YAKO NDIYO JUKUMU LETU

18/12/2020

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu
amesema maambukizi ya Kifua Kikuu (TB) yamepungua nchini kutoka wagonjwa 164,000
mwaka 2015 hadi kufikia wagonjwa 142,000 mwaka 2018.
Waziri Ummy amesema hayo wakati akikabidhi Hadubini 57 kati ya 941 zilizonunuliwa na
Serikali kwa ufadhili wa Global Fund, zikiwa na thamani ya Shilingi Bilioni 3.3, na zoezi hilo
litakuwa endelevu zikiwa zimeanza kutolewa kwa mkoa wa Dodoma.
Pamoja na hayo Waziri Ummy ametumia muda huo kueleza mafanikio yaliyofikiwa na
Mpango wa Taifa wa Kifua Kikuu na Ukoma ikiwa ni pamoja na kupungua kwa maambukizi
mapya kwa asilimia 18 lengo likiwa ni asilimia 20 na vifo vimepungua kwa asilimia 27 lengo
likiwa ni asilimia 35.
Aidha, Waziri Ummy amesema ugunduzi wa Kifua Kikuu unaendelea kuimarika ambapo
idadi ya wagonjwa waliogundulika na kuwekwa kwenye matibabu imeongezeka kutoka
wagonjwa 62,180 mwaka 2015 hadi kufikia 82,140 mwaka 2019.
Kwa upande wa vituo vya ugunduzi wa tiba, Waziri Ummy amesema katika kipindi cha
miaka mitatu vituo vimeongezeka kutoka vituo 662 mwaka 2016 hadi kufikia vituo 1,201
mwaka 2019.
Ameongeza katika kipindi hicho cha miaka minne idadi ya wagonjwa waliogundulika kuwa
na Kifua Kikuu imepungua kutoka wagonjwa 164,000 mwaka 2015 hadi wagonjwa
142,000 mwaka 2018 huku vifo vinavyotokana na TB navyo vikipungua kutoka makadirio ya
vifo 30,000 mwaka 2015 hadi vifo 22,000 mwaka 2018.
Waziri Ummy Mwalimu amesema hadubini hizo zinazokabidhiwa zitapelekwa katika vituo
vipya vya kutolea Huduma za afya 487 ambavyo vimejengwa, Hospitali za Mikoa 3,
Hospitali za Wilaya 69 pamoja na vituo vya afya vya zamani 315 pia kubadilisha hadubini
zilizoharibika katika vile vituo vyenye uhitaji.
Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Satano Mahenge ameishukuru
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa
kutambua ulazima wa kuwepo kwa hadubini hizo katika maeneo mbalimbali ya kutolea
huduma za afya lengo likiwa ni kuondoa usumbufu kwa wananchi kusafiri umbali mrefu
kutafuta huduma hiyo.

Want your business to be the top-listed Health & Beauty Business in Lindi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address

Mahengo, P. O Box 1074
Lindi

Opening Hours

Monday 07:30 - 22:45
Tuesday 07:30 - 22:00
Wednesday 07:30 - 22:00
Thursday 07:30 - 22:00
Friday 07:30 - 22:00
Saturday 07:30 - 22:00
Sunday 07:30 - 22:00