Balenz Media.
Kuna time unaweza kupotoshwa na vitendo vifanyavyo na watu ambao kwa namna moja ama nyingine unawaamini
Mtu unatizamia hivi unakutana na vile amiita K**a kwamba yanaweza kumpotosha mtu akaenda mbali na alivopangilia. Unaweza ku subscribe you tube channel ya kwa video nyingine zenye kutia hamasa wewe
23/08/2018
Maisha huwa hatumalizi kujibu maswali!
Unaitwa nani
Unaishi wapi
Unaelimu gani
Unafanya wapi
Wewe mwenyeji wa wapi
Unauma nini
Unasali wapi
Maswali na majibu sio school tu ni mtindo wa maisha...
18/08/2018
Tumiukata nusu mwezi jully ambapo msanii bado Yuko kileleni kwenye ya .. Heat kibao zimiachiwa ndani ya mwezi wote huu pengine unadhani Nani anweza kupenya katika chart hii kwa mwezi ataingiza nyimbo zaidi ya moja K**a ilivokua kwa mkongwe . Shusha comment yako ukipendekeza wimbo husikaa, vigezo ni vilevile /destiny
14/08/2018
Safari ni Ndefu Sana, Vikwazo na Vishawishi ni Vingi Sana....kuna Muda inakatisha tamaa, kuna Muda Navunjika Moyo...lakini naamini Vitu Vyote ni temporally hata Maisha Yenyewe....ni temporally so Hakuna Kurudi Nyuma na Uzuri Adui Ukimjuwa usisubiri Akumalize ✊🏿 ..
@ Mwanza
13/08/2018
Leo ni Agosti kumi na tatu birthday ya mkali wa mashairi yenye vina imikua kawaida yake huwa anaachia track,, Track iko hewani inaitwa umeshaisikiliza?...
09/08/2018
M/mungu kamwe akuwahi kukosea katika maamuzi yake Mbele yako nyuma yetu Mzee wetu Almaarufu KING MAJUTO _ R.I.P
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Kigoma
KIGOMA