Japhet Issa

Japhet Issa

Share

09/11/2025

Ujumbe kutoka kwa msanii , ni siku chache baada ya Platnumz kujigamba kuwa kwa hapa bongo hakuna kenge yeyote anayemuweza kwenye muziki, marioo kadai kwenye hao kenge yeye hayumo .

24/10/2025

"Nishawahi kuambia Watanzania siku nyingi sana. Hii game ya muziki imetawaliwa na shetani, yaani Tv kubwa duniani na radio kubwa ili zicheze mziki wako na zikupromoti ili uwe juu lazima upigwe miti kwasababu ni utawala wa Shetani.. mpaka Yesu atavyorudi, ndo maana sasaivi mabinti wengi wanakua wa malaya kwasababu Ya Aipohini, wanaendesha magari ya kukodisha ili waonekane wanamagari. Watoto wakiume wanapigwa miti, Madj na watangazaji wakubwa wanapigwa miti pamoja na wasanii.
Kwaiyo hata Wasafi ndo naana niliachana nao, nilimwambia Lukamba unakoelekea na sura yako nzuri nzuri Pid Didy lazima akupake mafuta, na walipigwa miti, si walitafuta Collabo haya walipata sasa.
Mimi nikiwa na laki moja niangu inanitosha, hiyo laki moja niautakatifu. Mwenyezi Mungu alisema kuwa na kiasi."-----amesema mkongwe wa bongo Fleva

Photos from Japhet Issa's post 30/09/2025

kundi kubwa mjini uvira MUSIC
wafanya mazoezi ya kuuwa mtu hiyo siku ya show le 5/ 10 il faut tumuonyeshe Vladmir shakis boy
K**a sisi ndo bagress gress

mu salle ya KABINDULA
usi tulize nani alipewa sasa zawadi ya Video kali inchini Njo wepeke ujionye

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Kigoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Kasulu
Kigoma